ISHU YA KATWILA KUBWAGA MANYANGA MTIBWA SUGAR IPO HIVI
IMEELEZWA kuwa, Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebwagwa manyanga kutokana na timu hiyo kuwa na matokeo ya kusuasua kwa msimu wa 2020/21.Katwila...
HOFU YATANDA DIJK KUKAA NJE MIEZI SABA
BEKI kisiki ndani ya kikosi cha Liverpool, Virgil Van Dijk, anaweza kukaa nje miezi saba hii ikimaniisha huenda akazikosa mechi zote zilizosalia msimu huu,...
KOCHA YANGA KUANZA KUTESTI MITAMBO NA POLISI TANZANIA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kibarua chake cha kwanza ndani ya ardhi ya Bongo ni Novemba 22, Uwanja wa Mkapa itakuwa dhidi ya...
PRINCE DUBE WA AZAM FC AUTIKISA UFALME WA MK 14
PRINCE Dube, nyota wa Klabu ya Azam FC ameonekana kuutikisa ufalme wa Meddie Kagere wa Simba baada ya kuhusika kwenye mabao nane ndani ya...
BIASHARA UNITED MDOGOMDOGO WANAKUJA, MGORE ANA JAMBO LAKE
MABAO manne pekee kipa namba moja wa Biashara United ameyaokota kwenye nyavu zake anaitwa Daniel Mgore.Ni timu moja kati ya sita ambazo wamekutana nazo...
LUIS: JUKUMU LANGU SIO KUTENGENEZA ASISTI PEKEE
BAADA ya kupiga asisti za kutosha, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone amesema kuwa hivi sasa akili na nguvu anazihamishia kwenye...
MBEYA CITY INA REKODI YAKE MATATA VPL
KLABU ya Mbeya City inayonolewa na Kocha Mkuu, Amri Said imeweka rekodi yake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza mechi sita ambazo ni...
ARTETA ACHAPWA BAO 1-0 NA MANCHESTER CITY, AHOJI KUHUSU VAR
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
MAGUIRE ALIAMSHA WAKATI MANCHESTER UNITED IKIPIGA 4G
HARRY Maguire, nahodha wa Manchester United dakika ya 23 aliweza kufuta makosa ya mchezaji mwenzake Luke Show aliyejifunga dakika ya 2 kwenye mchezo wa...
KOCHA YANGA ATAJA SABABU ZITAKAZOWAPA UBINGWA
CEDRIC Kaze Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa, ana matumaini makubwa ya kuuchukua ubingwa kutokana na mipango yake makini pamoja na uimara wa kikosi chake.Kaze...