MWAKINYO KUTETEA UBINGWA WA WBF DHIDI YA MUARGENTINA

0
  BONDIA mzawa, Hassan Mwakinyo amebadili ratiba ya mazoezi na sasa anajifua masaa manne kwa siku ikiwa ni maandalizi ya pambano lake dhidi ya Muargentina...

MKATA UMEME WA SIMBA NJE YA UWANJA MIEZI SITA, KUIKOSA DABI

0
 KIUNGO mkabaji wa Simba, raia wa Brazil Gerson Fraga maarufu kama mkata umeme kwa sasa atakuwa nje kwa msimu mzima kutokana na kuendelea kutibu...

ARSENAL YAMUWEKA KWENYE MPANGO ELNEY

0
ARSENAL ipo kwenye mpango wa kuongeza mkataba kiungo Mohamed Elney kwa ajili ya kuendelea kukitumikia kikosi hicho kwa msimu ujao.Kiungo huyo raia wa Misri...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA KWA SASA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo imekuwa na ushindani mkubwa kwa msimu wa 2020/21 huu hapa

AZAM FC KWENYE MTIHANI LEO KUISHUSHA YANGA KILELENI

0
 LEO Novemba 5 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga kwa timu sita kusaka pointi tatu uwanjani.Azam FC ambao wapo nafasi ya pili na...

PILATO WA DABI YA YANGA V SIMBA HUYU HAPA

0
IMEELEZWA kuwa mmoja kati ya waamuzi hawa wanne atakuwa ni mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya...

KAGERE HATIHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7, ISHU YA MUGALU IPO HIVI

0
  MSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Simba kunahatihati akaikosa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7 Uwanja wa Mkapa.Kagere ametupia...

NYOTA YANGA AUKACHA MPIRA, AIBUKIA KWENYE MASUALA YA UKULIMA

0
 NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, Malimi Busungu ambaye aliwika sana na kikosi hicho mara baada ya kusajiliwa amesema kuwa kwa sasa anafanya...

KUMBE MWINYI ZAHERA ALIIBUKIA KAMBI YA YANGA

0
 ALIYEWAHI kuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera,  inaelezwa kuwa alivamia kambi ya timu yake hiyo ya zamani kwa ajili ya kwenda kusalimia wachezaji wa...

LIGENDI DIEGO AFANYIWA UPASUAJI WA UBONGO

0
LIGENDI wa Argentina, Diego Maradona, amefanyiwa upasuaji wa ubongo huko La Plata Buenos Aires ambapo kwa mujibu wa daktari wake upasuaji huo umefanikiwa na anaendelea...