SIMBA:TUNAIFUNGA YANGA NOVEMBA 7
BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ametamba kuwa kwa namna yoyote lazima wahakikishe...
KAZE ANA KAZI YA KUPAMBANA NA VIGONGO VITANO VYA MOTO NOVEMBA
KOCHA Mkuu, Cedrick Kaze ana kibarua cha kusaka pointi 15 kwenye mechi zake tano ambazo atakuwa uwanjani na timu yake kwa mwezi Novemba.Uzuri ni...
MARADONA HAYUPO FITI KIAFYA
DIEGO Maradona legendi wa zamani wa timu ya Taifa ya Argentina ameripotiwa kupelekwa hospitali kutokana na kutokuwa fiti kwa afya huku wakigoma kuweka wazi...
GWAMBINA FC KUKIWASHA LEO DHIDI YA YANGA
TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020 kuivaa Gwambina katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao dhidi ya watani zao,...
KUONA BALAA LA SARPONG NA CHAMA KWA MKAPA BUKU SABA TU
NOVEMBA 7, Uwanja wa Mkapa mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba unatarajiwa kupigwa kuanzia saa 11:00 jioni.Viingilio kwenye mchezo huo...
KOCHA YANGA AMFUNGUKIA NYOTA WAKE SARPONG
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amesema ana imani na mshambuliaji wake, Mghana, Michael Sarpong na hivi karibuni wananchi watamuelewa. Kauli hiyo aliitoa mara...
VIWANJA SABA VYAPIGWA PINI NA BODI YA LIGI
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) leo Novemba 2 imevifungia viwanja viwanja 7 kutotumika kwa ajili ya mechi za mashindano kutokana na kukosa...
NYOTA KAGERA SUGAR AINGIA ANGA ZA KAGERE
BAADA ya jana, Novemba Mosi kufunga bao lake la nne nyota mzawa, Yusuph Mhilu anaingia anga za Meddie Kagere mshambuliaji namba moja wa Simba.Mhilu...
VIGONGO VITANO VYA MOTO KWA SIMBA ACHA KABISA, YANGA NDANI
BAADA ya Oktoba 31 Simba kuifunga kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui FC ndani ya Novemba ina kazi ya kusaka pointi 15...
POGBA: NILIFANYA KOSA LA KIJINGA NDANI YA UWANJA
KIUNGO wa kati wa Manchester United, Paul Pogba, amekubali kupokea lawama baada ya kucheza rafu dhidi ya mchezaji wa Arsenal, iliyosababisha penati ambayo iliamua...