MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
UKUTA WA MABEKI WA YANGA WAWEKA REKODI NDANI YA LIGI
UKUTA wa Klabu ya Yanga unaoongozwa na nahodha Lamine Moro pamoja na Bakari Mwamnyeto umeweka rekodi Bongo kwa kuwa ni namba moja kwa timu...
POLISI TANZANIA:TUTAFUNGA MABAO MENGI KWA MIPIRA ILIYOKUFA
GEORGE Mketwa, Kocha Msaidizi wa timu ya Polisi Tanzania amesema kuwa mpango mkakati namba moja ndani ya timu hiyo ni kufunga mabao mengi kwa...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOKIPIGA NA MLANDENGE FC, AJIBU NDANI
KIKOSI cha Simba ambacho kinacheza na Mlandege FC ya Zanzibar mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, leo Oktoba 17 Ibrahim Ajibu na Bernard...
EVERTON YAIKOMALIA LIVERPOOL NA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA KWENYE DABI
DABI ya leo Oktoba 17 ndani ya Ligi Kuu England ya Merseyside imekamilika kwa Everton kutoshana nguvu ya kufungana mabao 2-2 na kufanya wagawane...
MTAMBO WA MABAO NDANI YA YANGA HUU HAPA
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze baada ya kusaini dili la miaka miwili, jana Oktoba 16 mtambo wa kutengeneza mabao Kwenye kikosi hicho...
LIGI USHINDANI NI MKUBWA, MASHABIKI TUIPE SAPOTI STARS
RAUNDI ya sita kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara inazidi kurindima ambapo timu zimekuwa zikipambana kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ipo wazi kabisa...
AZAM FC WATAJA HOFU YAO ILIPO NDANI YA LIGI KUU BARA
STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube amefunguka kuwa hafurahii timu yake inapocheza kwenye baadhi ya viwanja vya mikoani kutokana na kwamba haviifanyi timu hiyo...
KAZE NA WINGA MPYA WATAJWA KUWA SABABU YA YANGA KUTWAA UBINGWA
MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kutoka Shirikisho la Soka la Burundi (FFB), Ramadhan Kabugi, amefunguka kuwa kitendo cha Yanga kumsajili Said Ntibazonkiza...
SIMBA WAANZA KUWAPIGIA HESABU PRISONS MAPEMA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Mlandege FC utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex saa 11:00 jioni ni maalumu kwa ajili...