RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 22, YANGA NA SIMBA KAZINI
LEO Oktoba 22, Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo timu nne zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti kusaka pointi tatu muhimu.Yanga itakuwa Uwanja wa Uhuru saa...
TANZANIA PRISONS: TUMEWAFUNGA MARA NYINGI SIMBA, TUTAWAFUNGA TENA
LEO, Tanzania Prisons itawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni.Tanzania Prisons wamewaambia Simba kwamba watawafunga leo...
FURAHA YA MTAMBO WA MABAO NDANI YA LIGI KUU BARA IMEJIFICHA HAPA
MASHINE ya mabao ya Azam FC, Mzimbabwe Prince Dube amefunguka kuwa furaha yake ni kuona timu inashinda kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya ligi. Nyota...
C7 MUGALU WA SIMBA ATAKIWA KUFUNGA MABAO MENGI
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amempa kazi maalum mshambuliaji wake raia wa DR Congo, Chris Mugalu, kuhakikisha anatumia kila nafasi ambayo...
YANGA YAIPIGIA MATIZI YA MWISHO POLISI TANZANIA
KIKOSI cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi...
ISHU YA MABAO, MUANGOLA WA YANGA ATAJWA KUWA TATIZO NDANI YA YANGA
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi ili kuhakikisha anapunguza ukame wa mabao...
KMC YAHAMISHIA NGUVU KWA YANGA, MWANZA
BAADA ya Klabu ya KMC kugawana pointi mojamoja na Klabu ya Ruvu Shooting, jana Oktoba 20 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja...
SIMBA KAMILI GADO KUMALIZANA NA TANZANIA PRISONS
PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja wa...
KIRAKA WA PRISONS KIMENYA MDOGOMDOGO ANAREJEA KWENYE UBORA
SALUM Kimenya, kiraka wa timu ya Tanzania Prisons amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri jambo analomshukuru Mungu.Kimenya anasumbuliwa na nyama za misuli jambo ambalo...
PETR CECH AREJEA CHELSEA
KIPA wa zamani wa Arsenal na Chelsea, Petr Cech amerejea tena kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa ni mshauri kwenye masuala ya...