YANGA YATUA KWA KIUNGO WA KAIZER CHIEFS

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano 

SIMBA; KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA NI SOMO KWETU

0
 CLATOUS Chama, kiungo wa Klabu ya Simba raia wa Zambia amesema kuwa kuondolewa kwa timu hiyo msimu uliopita kwenye michuano ya kimataifa ni somo...

PRINCE DUBE AIPOTEZEA TUZO YA MEDDIE KAGERE

0
 PRINCE Dube, kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara amesema kuwa kwa sasa hana hesabu na tuzo ya kiatu cha ufungaji bora kwa...

NYOTA SABA KUKOSEKANA KESHO TANZANIA PRISONS V SIMBA

0
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji pamoja na mzawa Seleman Matola ambaye ni kocha msaidizi kesho, Oktoba 22...

KOCHA YANGA ATUMIA MIEZI SITA KUISOMA SIMBA

0
 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa alitumia miezi sita kuwasoma Simba yenye mastaa kibao ikiwa ni pamoja na Luis Miquissone na Meddie Kagere.Yanga...

KAZE AITAJA SIMBA, CHAMA,KAGERE WAZUA JAMBO, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
 USIPANGE kukosa nakala yako kesho ya Gazeti la Championi Jumatano 

AZAM YAIPIGA IHEFU YA KATWILA MABAO 2-0

0
 AYOUB Lyanga nyota wa Azam FC leo Oktoba 20 amefungua akaunti yake ya mabao ndani ya Ligi Kuu Bara wakati timu yake ikishinda mabao...

KAGERE: NITARUDI UWANJANI KUPAMBANA

0
 MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Simba, Meddie Kagere amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa anaweza kurejea uwanjani kwa kuwa anaendelea vizuri baada ya kupata...

RUVU SHOOTING YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC LEO

0
 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA IHEFU, SOKOINE

0
 KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza leo Oktoba 20 dhidi ya IhefunFC, Uwanja wa Sokoine, Mbeya