KOCHA MPYA YANGA AMEFUNDISHA BARCELONA
HUKU Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Injinia Hersi Said, akisema kuwa watamtangaza rasmi Mrundi, Cedric Kaze...
KMC YAIPELEKA YANGA MWANZA, MECHI YAO KUPIGWA KIRUMBA
MCHEZO kati ya KMC na Yanga utakaopigwa Oktoba 25 utachezwa Uwanja wa CCM Kirumba baada ya wenyeji KMC kuomba iwe hivyo.KMC yenye maskani yake...
PRINCE DUBE ANAPENDA CHAPATI NA UJI NDANI YA BONGO
KINARA wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara, Prince Dube amesema kuwa miongoni mwa vitu anavyopenda ndani ya ardhi ya Bongo ni ukarimu wa...
MWENDO WA MBEYA CITY RAUNDI TANO NOMA, HAKUNA BAO MPAKA SASA
MBEYA City msimu wa 2020/21 baada ya raundi tano mambo yao yanakwenda namna hii kwa namba:-KMC 4-0 Mbeya City, Uwanja wa Uhuru.Yanga 1-0 Mbeya...
SABABU YA MANCHESTER UNITED KUWA TIMU NGUMU KWA WAPINZANI KUSHINDA YATAJWA NA MOURINHO
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa miongoni mwa timu ngumu kucheza nazo ndani ya Ligi Kuu England ni pamoja na Klabu ya...
SIMBA YATAJA SABABU ITAKAYOWAPA UBINGWA MSIMU WA 2020/21
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unazidi kujiweka sawa kwa ajili ya kutetea taji lao la Ligi Kuu Bara walilotwaa msimu wa 2019/20 kwa sababu...
YANGA: MECHI YETU DHIDI YA SIMBA NI MCHEZO WA KAWAIDA TU
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Simba ndani ya Ligi Kuu Bara ni wa kawaida tu kama ilivyo michezo mingine hawana...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
HUYU KAGERE MH! KESHO NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI
USIPANGE kukosa nakala ya Gazeti lako kesho la Spoti Xtra, Alhamisi ni jero tu
SIMBA KUCHEZA MECHI MBILI ZA KIRAFIKI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo kikosi kimeanza maandalizi kwa ajili ya mechi zake za Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za kirafiki.Oktoba 18...