SAMATTA ATAJA SABABU ZA STARS KUIFUNGA BURUNDI
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunguka kuwa anaamini kikosi cha Stars kitapata matokeo mazuri kwenye mchezo wa kirafiki...
BURUNDI WATIA TIMU BONGO, TAYARI KUIVAA STARS
TIMU ya Taifa ya Burundi tayari imewasili Bongo leo Oktoba 7 kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya FIFA.Mchezo...
SIMBA YATOA TAMKO RASMI KUHUSU DABI KUSONGEZWA MBELE
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna mamlaka ya kuzungumzia kuhusu kupelekwa mbele mchezo wao wa Ligi Kuu Bara kati yao na Yanga uliotarajiwa awali...
MCHEZO WA AZAM FC V MWADUI WAPELEKWA MBELE
MCHEZO uliopangwa kuchezwa Oktoba 9 kati ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21, Azam FC dhidi ya Mwadui FC umesogezwa mbele...
KUNDI B FDL ‘LATEKWA’ NA TIMU ZA LIGI KUU BARA
IKIWA zimebaki siku mbili kufika Oktoba 9 kwa Ligi Daraja la Kwanza kuanza kutimua vumbi, kuna balaa lipo kundi B ambapo timu zilizoshuka kutoka...
SIMBA YAZUNGUMZIA ISHU YA DABI KUPELEKWA MBELE
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umepokea taarifa za kupelekwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga uliopangwa kuchezwa Oktoba 11...
TAIFA STARS YAIVUTIA KASI BURUNDI
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya Fifa.Mchezo huo...
YANGA YACHEKELEA DABI KUPIGWA NOVEMBA 7
BAADA ya Bodi ya Ligi Tanzania, (TBLB) kutangaza kuwa ule mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa soka nchini kati ya Yanga...
BREAKING:MECHI YA YANGA V SIMBA YAPELEKWA MBELE
ULE mchezo wa dabi kati ya Yanga na Simba ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki umepelekwa mbele na Bodi ya Ligi Tanzania...
MARIO GOTZE ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI PSV
MARIO Gotze mchezaji wa zamani wa Klabu ya Borussia Dortumud na Bayern Munich amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya PSV Eindhoven akiwa...