MABAO KIDUCHU NDANI YA VPL, PRINCE KINARA
LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa ipo mzunguko wa tano ambapo rekodi zinaonyesha kuwe kwa mizunguko minne mfululizo hakuna raundi iliyokusanya jumla ya mabao...
SIMBA YAIWEKA KANDO YANGA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hana presha kubwa kuelekea kwenye mechi yake ya ligi dhidi ya Yanga na badala...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA COASTAL UNION
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 3 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Mkapa
GWAMBINA FC YASHINDA MABAO 2-0 MBELE YA IHEFU
KLABU ya Gwambina FC leo imepata ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi nne bila kuambulia ushindi kwenye ligi.Ushindi...
AZAM FC 2020/21 WANAJAMBO LAO
MOTO Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 unazidi kupamba moto huku ile vita ya tano bora ikiwa imeanza kuonekana mwanzoni kabisa.KMC yenye maskani...
HIZI PACHA ZA KAZI, ZITASUMBUA OKTOBA 18 KWENYE DABI
JOTO la mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba taratibu linazidi kupanda kwa sasa ambapo kila timu imeanza kutengeneza silaha zao...
MICHAEL SARPONG WA YANGA AIPIGIA HESABU SIMBA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amefunguka kuwa hana presha yoyote licha ya kushindwa kufunga mabao kwa kuwa anajipanga kuwaonyesha wapinzani wao Simba watakapokutana...
YANGA V COASTAL UNION LEO NI MOTO KWA MKAPA
JUMA Mwambusi, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
LUKAKU AFICHUA KUWA ENGLAND WALIKUWA WANAMUITA MVIVU
ROMELU Lukaku nyota wa kikosi cha Inter Milan amesema kuwa anaamini kwamba yupo huru kwenye kutupia mabao mengi akiwa ndani ya Italia kuliko alipokuwa...
SIMBA YAWASILI DODOMA, KUMKOSA MMOJA KESHO
KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama mkoani Dodoma baada ya kuanza safari leo mapema kwa basi kikitokea Morogoro ambapo kiliweka kambi jana, Oktoba 2.Simba...