DODOMA JIJI WAMOTO, WAIPAPASA RUVU SHOOTING BILA HURUMA

0
 MBWANA Makata, Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC amesema kuwa wachezaji wake wakiwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma huwa wanapambana kwa juhudi zaidi kwa kuwa...

MORRISON AFUNIKWA NDANI YA YANGA

0
 HUKU kukiwa na fukuto la  mkataba wake likiwa limeanza upya ndani ya klabu yake ya zamani ya Yanga wakidai kuwa mkataba wake ni batili...

MIKONO YA MANDADA YAKUTANA NA BALAA DAKIKA 360

0
 HAROUN Mandanda mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Mbeya City inayonolewa na Kocha Mkuu, Amri Said yupo kwenye wakati mgumu baada ya kuyeyusha...

COASTAL UNION: TUNAIFUNGA YANGA NA KUSEPA NA POINTI TATU

0
 UONGOZI wa timu ya Coastal Union umesema kuwa utaifunga Yanga katika mchezo utakaochezwa leo, Oktoba 3  Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.  Kocha Mkuu...

LEO LIGI KUU BARA RATIBA INAKWENDA KWA MTINDO HUU

0
 LEO Oktoba 3, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni raundi ya tano, mechi nne zitapigwa viwanja vinne tofauti kusaka pointi tatu itakuwa namna...

SADIO MANE AKUTWA NA CORONA

0
MSHAMBULIAJI matata ndani ya kikosi cha Liverpool, Sadio Mane raia wa Senegal ambaye anafanya vizuri kimataifa amekutwa na Virusi vya Corona baada ya kufanyiwa...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU MKATABA WA MORRISON NA HESABU ZAO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa ishu ya mkataba wa kiungo wao mshambuliaji, Bernard Morrison kwa sasa wanalifunga kwa kuwa hawana mamlaka ya kulizizungumzia.Oktoba Mosi,...

MUANGOLA WA YANGA NA MORO WANA JAMBO LAO

0
 CARLOS Carlinhos raia wa Angola, nyota mpya ndani ya Yanga, ameonekana kuivana na beki wa timu hiyo, Lamine Moro.Wawili hao kwenye michezo minne waliyocheza...

KAGERE ,SARPONG WATEKA UWANJA WA MKAPA KWA MTINDO

0
 ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya watani wa jadi Yanga na Simba kuonekana Uwanja wa Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa wachezaji wa kigeni wameuteka uwanja...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi