ISHU YA MAPUNGUFU YA MKATABA WA MORRISON, SIMBA YAJIBU KIMTINDO

0
 BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake...

KESHO NI DODOMA JIJI V RUVU SHOOTING UWANJANI

0
 KESHO Oktoba 2 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbuga ikiwa ni raundi ya tano sasa baada ya raundi ya nne kukamilika na kushuhudia...

YANGA YADAI MKATABA WA MORRISON SIMBA SIO HALALI

0
 KLABU ya Yanga imeibua upya utata mwingine wa mkataba wa mshambuliaji Bernard Morrison wakidai hana mkataba halali na mabosi wake wa sasa ambao ni...

KOCHA YANGA AFAFANUA DAKIKA 15 ZA WAZIR JR

0
 KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa ulikuwa ni mpango maalumu kumuingiza nyota wao Wazir Junior kipindi cha pili na kumtoa baada ya...

LAMINE MORO ATAMBA KUENDELEA KUTUPIA NDANI YA LIGI KISA UWEPO WA MUANGOLA

0
 BEKI wa Yanga, Lamine Moro, amefunguka kuwa kama kiungo wa timu hiyo, Carlos Carlinhos, raia wa Angola ataendelea kupata nafasi ya kucheza, basi yeye...

GWAMBINA FC HALI TETE NDANI YA DAKIKA 360

0
 KLABU ya Gwambina FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fulgence Novatus imetumia dakika 360 ndani ya uwanja bila kufunga bao huku ikiruhusu kufungwa jumla ya...

FUNGIAFUNGIA YA VIWANJA INAFIKIRISHA, MUHIMU KUWEKEZA NGUVU KWENYE MAANDALIZI

0
 MZUNGUKO wa nne wa Ligi Kuu Bara  umekamika kwa michezo tisa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali hapa nchini ambapo, wapo ambao wameendelea kuvuna pointi tatu...

WACHEZAJI WAKATI HUU NI MUHIMU KUONGEZA JUHUDI ILI KUJIWEKA SOKONI

0
 LIGI Kuu Bara imekuwa na changamoto kubwa hasa kwa upande wa waamuzi pamoja na wachezaji wenyewe kushindana ndani ya uwanja huku suala la kufungia...

SIMBA KUIFUATA JKT TANZANIA, WAKIMALIZANA NAO KUKUTANA NA YANGA

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wanazidi kuimarika kila siku hivyo anaamini kwamba atapata pointi tatu kwenye mechi zake zinazofuata.Kwa...

YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA COASTAL UNION

0
 KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa ana imani kwamba wachezaji wake watakuwa kwenye ubora kwa kadri ambavyo wanaendelea kutimiza majukumu yao ndani...