VPL:SIMBA 1-0 GWAMBINA
Imeongezwa dakika mojaDakika ya 45 mchezaji wa Gwambina anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 44 Luis anachezewa faulo hakizai matundaDakika ya 40 Goal KagereDakika ya37...
AZAM FC YAENDELEZA UBABE UGENINI, YAJIPIGIA 1-0 TANZANIA PRISONS
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu Aristica Cioaba leo Septemba 26 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa...
KIKOSI CHA GWAMBINA FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA UWANJA WA MKAPA
KIKOSI cha Gwambina FC kitakachoanza leo Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba Septemba 26.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA GWAMBINA FC
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Septemba 26 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Gwambina FC.Ndemla anaanza kikosi cha kwanza leo kwa mara ya kwanza baada...
POLISI TANZANIA YAINYOOSHA DODOMA JIJI MABAO 3-0
KLABU ya Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Malale Hamsini leo Septemba 26 imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Dodoma Jiji FC...
KING KIBA AFAFANUA JUU YA NGOMA YAKE MPYA
MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba maarufu kama Alikiba, amefunguka mambo mazito yaliyo nyuma ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Mediocre‘ ambao...
MWINYI ZAHERA: HATUWAOGOPI SIMBA
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Gwambina ya Misungwi mkoani Mwanza, Mwinyi Zahera amesema katika mechi yao dhidi Simba chochote kinaweza kikatokea kwa kuwa Simba ni timu kubwa nchini...
MAANDALIZI YA HANANG’ MARATHON YAPAMBA MOTO
MAANDALIZI kuelekea mbio za wazi za Mount Hanang' Marathon yameendelea kupamba moto katika mikoa ya Arusha, Manyara na Singida huku mbio hizo zikitarajiwa kufanyika...
KOCHA SIMBA KUIFUATA GWAMBINA FC KWA TAHADHARI
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck ameweka wazi kwamba anaingia kwa umakini kwenye mechi yao na Gwambina FC licha ya kwamba wamekuwa na maandalizi mazuri. Kocha...
MALENGO YA DODOMA JIJI NI KUSEPA NA TAJI LA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Dodoma Jiji FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara umesema kuwa malengo yao makubwa ni kutwaa ubingwa kwa msimu wa 2020/21 hivyo watapambana...