HII HAPA RATIBA YA MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU BARA
RATIBA ya mzunguko wa pili Ligi Kuu Bara baada ya jana Ijumaa mechi mbili kukamilika leo ni Jumamosi mambo yatakuwa namna hii
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
AZAM FC YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA COASTAL UNION, DUBE ATAKATA
PRINCE Dube, mshambuliaji mpya ndani ya Klabu ya Azam FC leo ametimiza majukumu yake kwa kuifungia timu hiyo mabao ya ushindi 2-0 mbele ya...
KAGERA SUGAR YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA GWAMBINA
KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime leo Septemba 11 imelazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Gwambina FC kwenye mchezo wa Ligi...
SIMBA KUFANYA MABADILIKO HAYA MAWILI
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa atafanya mabadiliko kidogo kwenye kikosi cha kesho kitakachovaana na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Jamhuri ama aina...
HIKI HAPA KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION
Kikosi cha Azam FC leo dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.
ISHU YA BILIONI 20 ZA MO NA KINGWANGALLA IMEFIKIA HAPA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana tofauti wala chuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ...
YANGA: TUMEWEKA REKODI YA KIPEKEE, WAPIGAJI DAWA YAO IPO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umeweza kuweka rekodi ya kuzindua jezi mpya pamoja na duka la vifaa ndani ya makao makuu ya timu hiyo...
SHIBOUB AKUNJA MKWANJA WA MAANA KWA WAARABU
SHARAF Shiboub kiungo wa zamani wa Simba ambaye ametwaa mataji matatu msimu wake wa kwanza wa 2020/21 atakipiga ndani ya Klabu ya CS Costantine...
EDEN HAZARD AWACHANGANYA REAL MADRID
REAL Madrid, wameongeza wasiwasi kuhusu uimara wa nyota wao Eden Hazard kutokana na kushindwa kuwa fiti kuitumikia timu yake ya Taifa ya Ubelgiji licha...