KAGERA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba Septemba...
MFUMO MPYA WA BONASI NDANI YA YANGA WABADILIKA
HERSI Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba wanaendelea...
SIMBA YAANZA KUIPIGIA HESABU BIASHARA UNITED
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United utakaopigwa Septemba 20, Uwanja...
YANGA KUIVAA MLANDEGE LEO AZAM COMPLEX
LEO Septemba 16, kikosi cha Yanga kinachonolewa na Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kitashuka Uwanja wa Azam Complex kumenyana na Mlandenge FC ya kutoka...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
KMC WAWEKA REKODI YA KIBABE VPL
WANA Kino Boys, KMC ndio kikosi kilichoweka rekodi ya kufunga mabao mengi kuliko timu zote ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21.Jumla...
AUBAMEYANG AONGEZA MKATABA WA MIAKA MITATU ARSENAL
RASMI sasa nyota wa Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang ameongeza dili la kuitumikia timu hiyo kwa muda wa miaka mitatu.Nyota huyo alikuwa kwenye mvutano na...
BUNDESLIGA SASA MUBASHARA NDANI YA AZAM TV
MSIMU wa 2020/21 wa Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga itarushwa moja kwa moja ndani ya chaneli ya Azam TV.Leo Septemba 15 umefanyika uzinduzi...
MORRISON APEWA NDINGA MPYA NA BOSI SIMBA, ATUMA UJUMBE WA KIJEMBE KIMTINDO
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba ameonyesha furaha yake na kushukuru kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohamed...
SASA NI VITA YA KAGERA SUGAR V YANGA
BAADA ya Kagera Sugar kumalizana na Gwambina FC kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Gwambina Complex kibarua chao kinachofuata ni...