KOCHA ARSENAL AFUNGUKIA SAINI YA AUBAMEYANG

0
 MIKEL Arteta,  Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mshambuliaji wake namba moja Pierre Emerick Aubameyang atasaini dili jipya hivi karibuni.  Arteta ameongoza kikosi chake...

MUONEKANO WA KAMBI MPYA YA YANGA 2020/21

0
 MUONEKANO wa kambi mpya ya Klabu ya Yanga iliyopo Kigamboni  kwa msimu wa 2020/21

MASHINE MPYA 10 ZA DODOMA FC HIZI HAPA

0
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6 kwa timu 18 kuanza mbio za kulisaka taji la ligi lililo mikononi mwa Simba.Tayari...

KAGERA SUGAR INA MAJEMBE 8 YA KAZI, MOJA KUTOKA YANGA, HAWA HAPA

0
 KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeongeza wachezaji nane wapya wakati wa dirisha la usajili lililofunguliwa Agosti Mosi na kufungwa Agosti 31.Mchezo...

BEKI KISIKI WA YANGA HATIHATI KUIKOSA TANZANIA PRISONS

0
 BEKI  kisiki wa Yanga, Lamine Moro, huenda akaukosa mechi za mwanzo wa msimu kutokana na jeraha la goti alilolipata hivi karibuni kwenye mazoezi ya timu...

MASHINE MPYA YA YANGA REKODI ZAKE ZIPO NAMNA HII

0
 YACOUBE Sogne, nyota mpya wa Yanga ambaye alitua nchini Tanzania Agosti 31 akitokea Burkina Faso na kupokelewa na viongozi wa Yanga takwimu zake zinaonyesha...

BWALYA APEWA MCHONGO SIMBA, YANGA WAMEANZA, KESHO NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI

0
 KESHO ndani ya SPOTI XTRA Alhamisi usipange kukosa nakala yako jero tu

MBWANA SAMATTA ACHEKELEA KUBAKI EPL

0
 NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England. Aston Villa imenusurika...

SIMBA: KISINDA ATALETA UPINZANI NDANI YA LIGI KUU BARA

0
 BAADA ya dirisha la usajili la Ligi Kuu Bara kufungwa rasmi Agosti 31 mwaka huu, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Aden Rage...

JESHI KAMILI LA POLISI TANZANIA 2020/21 HILI HAPA

0
 HILI hapa jeshi kamili la Polisi Tanzania msimu wa 2020/21