DAVID MOYES, MENEJA WA WEST HAM UNITED AKUTWA NA CORONA
KOCHA Mkuu wa West Ham, David Moyes amekutwa na Virusi vya Corona pamoja na wachezaji wake wawili ambao ni Issa Diop na Josh Cullen.West...
SIMBA YAPIGA HESABU ZA KUSHINDA MECHI ZOTE DAR
NYOTA namba moja ndani ya Klabu ya Simba Clatous Chama amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya ligi na wanahitaji...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
KISINDA:TUNA JUKUMU KUBWA KUTATIMIZA MALENGO
TUISILA Kisinda winga mpya ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa wanajukumu kubwa la kupambana kwa ajili ya timu hiyo ili kuweza kufikia malengo...
NYOTA WA YANGA AIBUKIA ZESCO UNITED
DAVID Molinga mshambuliaji wa zamani wa Yanga amejiunga na Klabu ya Zesco United ya Zambia
NAMUNGO FC:BADO TUNA NAFASI YA KUFANYA VIZURI
BIGIRIMAMA Blaise mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wanaamini watarejea kwenye ubora wao licha ya kupoteza mechi mbiili mfululizo. Namungo...
MCHEZO WA KIRAFIKI: SIMBA 0-0 AFRICAN LYON
Simba 0-0 African Lyon Uwanja l: Azam Complex Dakika ya 26 Afrika Lyon wanapata fauloDakika ya 23 Mkude anachezewa faulo Dakika ya 22 Mugalu anapaisha ndani ya...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AFRIKA LYON MCHEZO WA KIRAFIKI
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Afrika Lyon Uwanja wa Azam Complex mchezo wa kirafiki
SIMBA INA HESABU ZA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA WAARABU
Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez akiongozana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Mulamu Nghambi wametembelea makao makuu ya klabu ya Al Ahly yaliyopo jijini...
MTIBWA SUGAR WAIPA SOMO KIMTINDO SIMBA KUHUSU WACHEZAJI WA GHARAMA
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amefichua kuwa kabla ya matokeo ya sare na Simba, wapinzani wao walijuwa watawafunga zaidi ya mabao 10...