HAPA NDIPO TATIZO LA YANGA LILIPOJIFICHA
KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema kuwa tatizo kubwa la timu yake kwa sasa lipo kwenye safu ya ushambuliaji. Mserbia huyo alikisimamia kikosi...
MOTO WA LIGI KUU ENGLAND UNAWAKA NAMNA HII
LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kinaanza rasmi kutimua vumbi.Bingwa mtetezi ni Liverpool inayonolewa na Jurgen Klopp ina kazi ya kuanza kusaka...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mchezo huu unachezwa leo Septemba 12, majira ya saa 10:00 jioni.
SIMBA YAIDAI MABAO 20 MTIBWA SUGAR FC
LEO, Septemba 12, Mtibwa Sugar itaikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwa kila timu kuingia ndani ya...
SIMBA;MCHEZO WETU DHIDI YA MTIBWA SUGAR SIO MWEPESI
KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo Septemba 12 kitakuwa kazini kumenyana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...
JOSE MOURINHO AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI WANAOMHOFIA KANE
MENEJA wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amewapiga mkwara wachezaji anaowataka kuwapa dili ndani ya timu hiyo kwa kusema kuwa ikiwa wanahofia kushindana na...
HII HAPA RATIBA YA MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU BARA
RATIBA ya mzunguko wa pili Ligi Kuu Bara baada ya jana Ijumaa mechi mbili kukamilika leo ni Jumamosi mambo yatakuwa namna hii
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
AZAM FC YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA COASTAL UNION, DUBE ATAKATA
PRINCE Dube, mshambuliaji mpya ndani ya Klabu ya Azam FC leo ametimiza majukumu yake kwa kuifungia timu hiyo mabao ya ushindi 2-0 mbele ya...
KAGERA SUGAR YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA GWAMBINA
KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime leo Septemba 11 imelazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Gwambina FC kwenye mchezo wa Ligi...