HESABU ZA KAGERA SUGAR KWA YANGA BADO KABISA
MECKY Mexime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wanaanza kumalizana kwanza na Gwambina Septemba 11 kisha Yanga itafuata Septemba 19. Mexime amesema kuwa wanatambua...
YANGA WATAJA SABABU ITAKAYOWAPA UBINGWA
KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa wana kila sababu ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kwa kuwa wana...
KIUNGO MPYA SIMBA MZAMBIA ANAWAZA MATAJI TU
KIUNGO mpya wa Simba, Larry Bwalya, raia wa Zambia, amefunguka kuwa atapambana kuhakikisha kikosi hicho kinakuwa na mataji mengi kwa msimu huu. Kiungo huyo ameongeza kwamba...
KOCHA YANGA ABEBA MATUMAINI TIMU YAKE KUFANYA VIZURI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic amesema kuwa anaamini uwezo wa wachezaji wake unazidi kuimarika kila siku jambo linalompa matumaini ya kufaya vizuri kwenye...
MAJEMBE HAYA MATANO YA KAZI SIMBA, KAMILI GADO KUIVAA MTIBWA SUGAR
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mechi zote za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na ile...
LYANGA WA AZAM FC ACHEKELEA KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO
AYOUB Lyanga nyota mpya ndani ya Klabu ya Azam FC amesema kuwa anafurahi kuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi chake kwenye mchezo wao wa...
RUVU SHOOTING: KUANZA KWA SARE NI DARASA KWETU
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kuanza kwa sare ya bila kufungana mbele ya Mtibwa Sugar ni darasa kwao litakalowafanya wayafanyie kazi makosa ambayo...
TAJI LA AFCON UCHUNGUZI UNAENDELEA
UCHUNGUZI umeanzishwa na Shirikisho la soka nchini Misri (EFA) baada ya kubaini kuwa vikombe kadhaa vimepotea kutoka Makao Makuu yake mjini Cairo, likiwemo kombe...
HIVI NDIVYO MABAO 101 YA CR 7 YALIYOPATIKANA
Hivi ndivyo mabao 101 ya Cristiano Ronaldo ndani ya timu ya Taifa ya Ureno yamepatikana;-Mguu wa kushoto mabao 22Mguu wa kulia mabao 54Kichwa mabao...