VIGINGI VITATU MATATA KWA YANGA HIVI HAPA
ZLATKO Krmpotick, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Serbia ana kibarua kizito cha kumalizana na vigingi vitatu ndani ya dakika 270 kwenye mechi zake...
RONALDO AWEKA REKODI YA KIBABE
NYOTA wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo anakuwa mchezaji wa pili kwa wachezaji wa mpira wa miguu duniani kufunga mabao 100 kwenye...
MSHAHAMBULIAJI YANGA APATA DILI RWANDA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Polisi Rwanda ya Rwanda.Timu hiyo inashiriki lia Ligi Kuu...
RATIBA YA LIGI KUU BARA RAUNDI YA PILI IPO NAMNA HII
RATIBA ya Ligi Kuu Bara raundi ya pili itakuwa namna hii:-
TAZAMA MSIMAMO WA LIGI KUU BARA BAADA YA MZUNGUKO WA KWANZA KUKAMILIKA
Msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mzunguko wa kwanza kukamilika upo namna hii:-
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
CAF YAMPA TANO MRITHI WA SENZO SIMBA
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika, Ahmad Ahmad amemwandikia barua kumpongeza Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa simba, Barbara Gonzalez kwa uteuzi wake akimtakia kila...
KILICHO NYUMA YA USHINDI NI MAANDALIZI, TUNAHITAJI KUONA LIGI BORA
LIGI Kuu Tanzania Bara imeanza kutimua vumbi Septemba 6 na 7 ilikamilisha mzunguko wa kwanza kwa ajili ya mbio za kumsaka bingwa mpya wa...
ALIYEWAPA TABU SIMBA APEWA DILI ARUSHA
AFC Arusha, leo Septemba 8 imemtangaza Atuga Manyundo kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayojiandaa na michuano ya Ligi Daraja la Kwanza ,Tanzania bara.Manyundo...
ASTON VILLA YAIWINDA SAINI YA MSHAMBULIAJI OLLIE
KLABU ya Aston Villa ipo kwenye mchakato wa kukamilisha usajili wa kuipata saini ya mshambuliaji wa Brentford, Ollie Watkins ambaye awali dau lake lilitajwa...