MUANGOLA WA YANGA ALIGOMA KWENDA KUCHEZA ULAYA, KISA YANGA

0
 IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga raia wa Angola, Carlos St’enio Fernandez ‘Carlinhos’,  amekataa ofa ya kwenda kucheza soka la kulipwa Ureno na badala...

KUMBE KOCHA MPYA BARCELONA ALIWAHI KUFUKUZWA KWA MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA

0
 KOCHA wa zamani wa Klabu ya Everton, Southampton na timu ya Taifa ya Uholanzi,Ronald Koeman kwa sasa amepewa mikoba ya kukinoa kikosi cha Barcelona....

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano

ORODHA YA WACHEZAJI WAPYA NDANI YA IHEFU FC HII HAPA

0
 Wachezaji wapya ndani ya kikosi cha Ihefu FC ya Mbeya hii hapa

NGASSA HUYO KUKIPIGA NDANI YA NDANDA FC

0
 KIUNGO mkongwe ndani ya Bongo aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Yanga inaelezwa kuwa msimu ujao atakuwa ndani ya Klabu ya Ndanda FC inayoanza...

REKODI ZA JEMBE JIPYA YANGA USIPIME, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
 Kesho ndani ya Championi Jumatano, usipange kukosa nakala yako.

HII HAPA ORODHA YA LIGI ZA NCHI ZITAKAZOPELEKA TIMU NNE KIMATAIFA AFRIKA

0
HII hapa orodha ya Ligi za  nchi ambazo zitapeleka timu nne kwenye michuano ya kimataifa Afrika yaani mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe...

BEKI GABRIEL NI MALI YA ARSENAL, ARTETA AMPA NENO

0
 Beki wa kati Gabriel dos Santos Magalhaes amemalizana na Klabu ya Arsenal na amepewa jezi namba sita. Beki huyo mwenye miaka 22 ni raia...

NYOSSO KUKIPIGA NDANI YA RUVU SHOOTING

0
 JUMA Nyosso, mkongwe ndani ya Ligi Kuu Bara msimu ujao atakipiga ndani ya Klabu ya Ruvu Shooting inayonolewa na Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa.Nyosso...

NYOTA YANGA ASAINI POLISI TANZANIA

0
 TARIQ Seif kiungo mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Yanga amesaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania.  Seif alipokuwa akikipiga...