KAGERA SUGAR WAIWEKA KIPORO YANGA, SABABU IPO HIVI
MECKY Mexime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wanaanza kumalizana kwanza na Gwambina Septemba 11 kisha Yanga itafuata Septemba 19.Akizungumza na Saleh Jembe,...
CHELSEA WAIPOTEZA INTER MILAN KWA KANTE
MABOSI wa Chelsea wameifungia vioo Klabu ya Inter Milan ambayo ilikuwa inahitaji kupata saini ya kiungo N'Golo Kante ili ajiunge na klabu hiyo kwa ajili ya...
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA MTIBWA SUGAR
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Septemba 12, Uwanja...
YANGA YAIPIGIA HESABU MBEYA CITY
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Mbeya City unaotarajiwa kuchezwa Septemba 13, Uwanja wa Mkapa.Yanga itaingia...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
KAGERE AMESHINDIKANA BONGO,CHIRWA, SARPONG WAKWAMA
MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21 umekamilika kwa timu 9 kupambania pointi tatu huku wachezaji wakipambana kuweka rekodi...
RUVU SHOOTING YATUMA UJUMBE HUU KWA IHEFU FC
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa umejipanga kuvunja rekodi waliyoweka msimu uliopita kwa kumaliza ligi wakiwa nafasi ya 12 na pointi zao 47 baada...
HESABU ZA KAGERA SUGAR KWA YANGA BADO KABISA
MECKY Mexime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wanaanza kumalizana kwanza na Gwambina Septemba 11 kisha Yanga itafuata Septemba 19. Mexime amesema kuwa wanatambua...