BAADA YA KUJIFUNGA KWENYE FAINALI, LUKAKU AJA NA WARAKA HUU

0
MSHAMBULIAJI Romelu Lukaku, ameandika waraka kwa mashabiki wa timu yake ya Inter Milan akisisitiza kuwa atarejea kwa kishindo baada ya bao lake la kujifunga kuigharimu...

MUANGOLA WA YANGA AANZA KAZI RASMI

0
 KIUNGO mpya wa Yanga, Carlos Stenio Fernandez Guimaraes 'Carlinhos' baada ya kutua jana rasmi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,(JNIA) na...

NAMUNGO FC WAJIPANGA KWA AJILI YA MECHI YA NGAO YA JAMII

0
 HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa anatambua mchezo wake wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba utakuwa na ushindani mkubwa jambo...

KMC YACHWAPA MABAO 3-1 NA SIMBA

0
 TIMU ya Simba leo Agosti 26 imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya KMC kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru.KMC ilianza...

SIMBA YAKUBALI MAJEMBE YA KAZI YA YANGA

0
 MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema wapinzani wao Yanga na Azam nao wamefanya usajili mzuri, hivyo kutakuwa na ushindani...

AZAM FC: TUPO TAYARI KWA MSIMU MPYA WA 2020/21

0
AGREY Morris, nahodha wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa...

MASHINE HII NYINGINE MPYA YA YANGA KUTUA LEO

0
 NYOTA mwingine wa Yanga ambaye yeye ni mshambuliaji anatarajiwa kutua leo Agosti 26 ili kujiunga na wachezaji wenzake ambao tayari wameshaanza mazoezi.Nyota huyo raia...

REKODI ZA MESSI NA BARCELONA, KWA SASA HATAKI KABISHA KUBAKI HAPO

0
 Lionel Messi akiwa na Barcelona:Mechi: 731Ametupia: 634Pasi za mabao: 285MatajiLa Liga 10Copa del Rey 6Champions League 4Club World Cup 3Super Cup 3Super Cup 8TuzoBallon...

SIMBA LEO KUKIPIGA DHIDI YA KMC NA TRANSIT CAMP, MUGALO KUZIKOSA ZOTE MBILI

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akishirikiana na Selaman Matola, leo Agosti 26  kitacheza mechi mbili za kirafiki.Itacheza dhidi ya KMC...

VIKOSI VIWILI VYA YANGA ACHA KABISA,MUGALU ATOWEKA SIMBA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano