AZAM FC KUKIWASHA LEO, MAJEMBE MAPYA KUTAMBULISHWA, KIBA ANA JAMBO LAKE

0
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa leo kwenye kilele cha Tamasha la Azam Festival mbali na kuwatambulisha wachezaji wapya kutakuwa na burudani mbalimbali pamoja...

BERNARD MORRISON ‘AWACHETUA’ MASHABIKI WA SIMBA

0
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Simba ameanza makeke yake ndani ya klabu hiyo mpya kwa kuweka rekodi kwenye mchezo wake wa kwanza wa ushindani...

MTIBWA SUGAR YAMALIZANA NA MAJEMBE HAYA MATATU

0
 KLABU ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake Morogoro huku ikitumia Uwanja wa Gairo kwa mechi za nyumbani  ambazo hazina idadi kubwa ya mashabiki huku...

HAYA HAPA MAJEMBE SABA YA KAZI YATAKAYOTAMBULISHWA LEO NDANI YA AZAM FC

0
 LEO Agosti 23, Uwanja wa Azam Complex ni kilele cha Azam Festival ambapo inatarajiwa kuchezwa mechi ya kirafiki kati ya kikosi cha Azam FC...

BEI YA SANCHO YAWAKATISHA TAMAA MANCHESTER UNITED

0
 IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Manchester United imekata tamaa ya kupata saini ya nyota, Jadon Sancho mpaka msimu ujao kwa kuwa hawapo tayari kukaa chini...

YANGA YANUNUA MABAO 50 BONGO,BWALYA NI MTU NA NUSU, NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

KUMBE HII NDIO SUPRISE YA SIMBA, MONDI APIGA SHOW MOJA MATATA KWA MKAPA

0
 MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul, Diamod leo Agosti 22 ameweka rekodi yake kwa kutumbuiza mbele ya mashabiki wa Simba ambao walijitokeza...

SIMBA 6-0 VITAL’0 YA BURUNDI, KIKOSI CHA KWANZA CHATUPIA MAWILI, CHA PILI MANNE

0
 KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Agosti 22, imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya Vital'O ya Burundi kwenye...

RASMI BOSI SIMBA AANZA KAZI YANGA

0
SENZO Mbata, aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, leo Agosti 22 ameibuka ndani ya Uwanja wa Chuo cha Sheria kuwaona wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi...

KESHO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA MWENDO WA KUSAKA REKODI

0
 KESHO Agosti 23 itapigwa fainali ya kibabe kati ya mabingwa wa Ufaransa PSG dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich.Mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa...