SASA NI BAYERN MUNICH V PSG FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA, WOTE MWENDO WA...

0
 BAYERN Munich usiku wa kuamkia leo imeshinda kwa mabao 3-0 mbele ya Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. ...

STRAIKA TP MAZEMBE ASHUSHWA YANGA,MUGALU ABEBESHWA ZIGO LA OKWI, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi 

FARID MUSSA AANZA MAZOEZI YANGA

0
 KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa, leo Agosti 19 ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara...

WACHEZAJI WAPYA YANGA WAANZA SAFARI KUIBUKIA BONGO

0
 NYOTA wapya ambao wamemalizana na Yanga hivi karibuni, nchini Congo, leo Agosti 19 wameanza safari kutoka nchini Congo, kuitafuta ardhi ya Tanzania ili kujiunga...

ISHU YA HAJI MANARA KUACHIA NGAZI SIMBA IPO HIVI

0
  OFISA Habari wa Simba, Haji Manara leo Agosti 19, 2020 amefuta kauli yake ya kustaafu nafasi yake ya ndani ya Klabu ya Simba.Agosti...

JEMBE JINGINE LA KAZI LATUA SIMBA

0
 KIUNGO wa Simba, Francis Kahata raia wa Kenya leo Agosti 19  amerejea nchini Tanzania kuanza mazoezi na wachezaji wenzake katika Uwanja wa Simba Mo...

BEKI LIPULI ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI KMC

0
  DAVID Mwasa ambaye ni beki wa kati, leo Agosti 19 ametambulishwa ndani ya Klabu ya KMC kuwa mchezaji wao mpya kwa ajili ya msimu...

USAJILI WA MBWEMBWE SAWA, MUHIMU WEKEZENI KATIKA MAANDALIZI

0
Na Saleh AllyHOFU ya ugonjwa wa Covid 19, imebadilisha mambo mengi sana katika mlolongo sahihi wa maisha ya mpira wa soka duniani.  Kwa miaka nendarudi,...

KOCHA YANGA: TUISILA NI BORA KULIKO BERNARD MORRISON

0
 ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya Gwambina FC, amefunguka kuwa klabu hiyo imepata...

KOEMAN ARITHI MIKOBA YA SOLAR ALIYECHAPWA MABAO 8-2 LIGI YA MABINGWA ULAYA

0
 RAIS wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kuwa Ronald Koeman atapewa kibarua cha kuwafunza miamba hao wa Catalan. Nyota huyo wa zamani wa Barcelona amesaini dili la...