DAVID KAMETA MAARUFU KAMA DUCHU ATUA SIMBA

0
  DAVID Kameta maarufu kama Duchu leo Agosti 15 ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba.Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kwa Mabingwa wa...

BWALYA WAHUSISHWA KUIBUKIA YANGA NA SIMBA

0
INAELEZWA kuwa  Larry Bwalya na Walter Bwalya wote raia wa Zambia wapo kwenye rada za kuibukia ndani Simba na Yanga.Larry Bwalya  mwenye miaka 25...

BREAKING:KIGOGO YANGA APIGWA CHINI MAZIMA

0
TAARIFA kutoka Yanga kumtimua Ofisa Masoko ndani ya Klabu ya Yanga

BREAKING: SABILO WA POLISI TANZANIA ASAINI NAMUNGO

0
 SIXTUS Sabilo, mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania ametambulishwa leo Agosti 15 ndani ya Namungo FC kwa dili la mwaka mmoja. Sabilo alikuwa...

JEMBE LA KAZI LA SIMBA LAIBUKIA KAGERA SUGAR

0
 IBRAHIM Mohamed,'Mo Ibra' kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba amemalizana na Kagera Sugar kwa dili la miaka miwili.Kiungo huyo alikuwa anakipiga ndani ya...

RIO: KICHAPO CHA UDHALILISHAJI CHA MABAO 8-2 KUFUNGUA NJIA YA KUSEPA KWA MESSI

0
NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Manchester United, Rio Ferdinand amesema kuwa kwa kichapo cha mabao 8-2 walichokipata Barcelona kwenye...

STRAIKA HUYU ATAFUNGA SANA, MWAMNYETO ATOA KAULI YA KIBABE, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani.

KOCHA YANGA ATAJA ILIPOFELI KWENYE PANGA LA NYOTA 14

0
 BAADA ya Klabu ya Yanga kupitisha panga na kuwaondoa kikosini zaidi ya wachezaji 14 waliokipiga na timu hiyo msimu huu, aliyekuwa kocha wa Yanga,...

HASSAN MWAKINYO ABEBA UBINGWA WA DUNIA

0
 HASSAN  Mwakinyo, bondia wa ngumi za kulipwa Mtanzania anayeipeperusha vema Bendera ya Taifa kwenye ndondi, usiku wa kuamkia leo amemnyoosha kwa pointi Tshibangu Kayembe...

ISHU YA PAPY TSHISHIMBI KUIBUKIA SIMBA IMECHORWA HIVI,SABABU ZATAJWA

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa zamani wa Yanga amesema kuwa hana tatizo ikiwa Simba watamfuata ili asaini dili jipya ndani ya klabu hiyo.Tshishimbi kwa sasa...