HUYU HAPA APEWA MIKOBA YA EYMAEL NDANI YA YANGA KWA SASA
KOCHA msaidizi na viungo wa Yanga raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien, ndiye amekabidhiwa majukumu ya kukinoa kikosi hicho kilichoanza maandalizi ya msimu mpya...
WATATU KUITWA KAMATI YA MAADILI ISHU YA MORRISON, BUMBULI NAYE ANA JAMBO LAKE
KUTOKA Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) wana familia watatu kwenye michezo watapewa malalamiko yao na wito kwa njia ya maandishi ili kuhuduhuria kikao cha Kamati...
BREAKING:ONYANGO BEKI WA GOR MAHIA ATAMBULISHWA SIMBA
JOASH Onyango, nyota wa zamani wa Klabu ya Gor Mahia leo ametambulishwa rasmi ndani ya Klabu ya Simba.Onyango raia wa Kenya amefanya kazi kwa...
YANGA WAMKOMALIA MORRISON, LENGO LAO KWENDA CAS LIPO PALEPALE
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa unasubiria nakala ya hukumu kutoka kwenye Kamati ya Maadili, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la...
ASAINI MIAKA MITATU WILLIAN NDANI YA ARSENAL
ARSENAL imekamilisha usajili wa winga Willian raia wa Brazil kwa dili la miaka mitatu, leo Agosti 14. Winga huyo ametua Arsenal bure kwa kuwa mkataba...
LUSAJO MTAMBO WA MABAO NDANI YA NAMUNGO UNAOHUSISHWA KUJIUNGA YANGA
UKIWATAJA wazawa wakali wa kucheka na nyavu kwa msimu wa 2019/20 walio ndani ya tano bora, huwezi kuliacha jina la Reliants Lusajo anayekipiga ndani...
RASMI SIMBA YAMTAMBULISHA ILANFYA MTUPIAJI KUTOKA KMC
RASMI leo Agosti 14, Charlse Ilanfya ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven.Ilanfya alikuwa anakipiga ndani ya KMC ambapo aliibukia...
MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA MSIMU WA 2020/21
LEO Agosti 14, Klabu ya Simba imetambulisha uzi mpya itakaoutumia kwa msimu mpya wa 2020/21. Muonekano wake upo namna hii:-
BREAKING:MKWASA APEWA MIKOBA YA SALUM MAYANGA RUVU SHOOTING
TIMU ya Ruvu Shooting Star yenye maskani yake Pwani (Barcelona ya Bongo), leo, Agosti 14, 2020, imeingia mkataba na Kocha mpya, Charles Boniface Mkwasa (Master),...
WAKATI HUU WA USAJILI MUHIMU KUZINGATIA RIPOTI YA KOCHA
DIRISHA la usajili linaendelea kwa sasa ambapo timu nyingi zinajipanga kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.Kuna umuhimu...