HUMUD WA MTIBWA SUGAR ‘AJIFUNGA’ MIAKA MIWILI NAMUNGO FC
ABDULHALIM Humud aliyekuwa kiungo wa Mtibwa Sugar leo Agosti 13 amekamilisha dili la kujiunga na Namungo FC iliyo chini ya Hitimana Thiery.Humud aliyekuwa anatajwa...
NAMUNGO YAINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR, KUCHOMOKA NA MAJEMBE MAWILI
UONGOZI wa Namungo FC upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kiungo wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humud na beki wa kushoto wa timu hiyo...
KUMBE! MOLINGA ALIAHIDIWA KUSAINI DILI JIPYA NDANI YA YANGA
DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga amesema kuwa alipata taarifa za kuachwa na timu yake ya Yanga kupitia mitandao kwa kuwa alizungumza...
SABABU YA SENZO KUBWAGA MANYANGA SIMBA NA KUIBUKIA YANGA IPO HIVI
IMEELEZWA kuwa sababu zilizomwondoa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Senzo Mazingisa, ambaye Agosti 9 alitangaza kujiuzulu nafasi yake ndani ya klabu hiyo...
YANGA WAMEAMUA KWELIKWELI, DOZI YAO NI MARA TATU
YANGA Agosti 10 imeanza mazoezi rasmi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, 2020/2021, kwa kufanya program tatu kwa siku katika kukiimarisha kikosi chao...
MORRISON AKISHINDA,YANGA YAKIMBILIA FIFA,NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
SUALA LA YONDANI NA ABDUL KUTEMWA YANGA WAKONGWE WAFUNGUKIA
BAADA ya vuta nikuvute ya muda mrefu kati ya uongozi wa Yanga na walinzi waandamizi wa timu hiyo, Kelvin Yondani na Juma Abdul, taarifa...
USAJILI BONGO UMESHIKA KASI, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO YA GAZETI LA SPOTI XTRA
KESHO ndani ya Gazeti la SPOTI XTRA
BREAKING: YANGA KUKATA RUFAA ISHU YA MORRISON
BREAKING: Yanga kukata rufaa kesi ya Bernard Morrison
HIVI NDIVYO HUKUMU YA MORRISON ILIYOMALIZWA, YANGA RUKSA KUKATA RUFAA
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison raia wa Ghana leo Agosti 12 ameshinda shauri lake dhidi ya Yanga ambalo lilikuwa ni kuhusu mkanganyiko wa mkataba wake...