KINZUMBI ALIAMSHA MAZEMBE….AWAGOMEA MABOSI OFA YA KUUZWA TUNISIA KISA YANGA…
Wakati msafara wa maofisa wa Yanga ukijipanga kurudi tena kwa klabu ya TP Mazembe kuendeleza ushirikiano wao, ndani ya klabu hiyo bingwa wa DR...
WAKATI AYOUB ANASITASITA KUSAINI ….MAKIPA HAWA HAPA KUTUA SIMBA CHAP…
WAKATI Simba wakiendelea kufanya mazungumzo na kipa wao Ayoub Lakred kumbakiza lakini uongozi huo umeomyesha nia ya makipa wengine wawili kwa kigeni.
Makipa hao ni...
‘THANK YOU’ SIMBA KUANZA KUMWAGA WIKI IJAYO…AHAMED ALLY AFICHUA WANAOANZA…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amebainisha kuwa kuanzia wiki ijayo wataanza kutangaza majina ya wachezaji, viongozi, na benchi la...
MSHINDI KUVUNA MIL 400/= TZS SHINDANO LA EXPANSE..
Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye...
KISA KUKOSA UFUNGAJI BORA DK ZA JIOOONI …FEI TOTO ‘KASHUSHA HILI KWA AZIZI KI….
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amempongeza Stephane Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora akipachika mabao 21 huku akiweka wazi kuwa alistahili.
Fei...
KUHUSU AZIZI KI….GAMONDI NAYE KATIA NENO LAKE….AMTAJA MESSI….
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi afichua alichomwambia Stephanie Aziz Ki kuhusu mbio zake za kusaka ufungaji bora msimu huu akisema kuwa kiungo huyo ni...
UGUMU KUTOKANA NA UWEPO WA LOMALISA WAMFANYA KIBABAGE KUFUNGUKA HAYA YANGA….
Beki wa kushoto wa Yanga, Nickson Kibabage amesema anafurahia kuwa miongoni mwa kikosi cha ushindi cha timu hiyo ingawa kutopata nafasi kwenye kikosi cha...
KISA BOCCO KUSTAAFU SIMBA…MGUNDA, TSHABALALA WAFUNGUKA YA MOYONI……
Siku moja baada ya nahodha, John Bocco kuaga mashabiki na wachezaji wenzake wa Simba, kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda amesema yeye...
UNASHANGAA AZAM KUIPIKU SIMBA MSIMU HUU?….YANGA MJIAANDAE AISEE….BALAA LAO SIO POA…
Msimu wa Ligi Kuu Bara 2023/24, umekamilika hapo kesho jana kwa timu zote 16 kushuka kwenye madimba nane tofauti katika muda mmoja wa saa...
KUHUSU KUSEPA …AZIZI KI AVUNJA UKIMYA….”ENG HERSI ALINIAMBIA NAWEZA KUONDOKA YANGA “…
Kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz Ki ameibuka kinara wa mabao Ligi Kuu ya NBC akifunga mabao 21 na kumfunika kiungo wa Azam FC, Feisal...