MTAMBO MPYA WA MABAO NDANI YA YANGA WATIMIZA AHADI YA MAMAYE

0
 MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Wazir Junior, amesema anajisikia faraja kupata nafasi ya kucheza Yanga kwani aliweka ahadi kwa mama yake mzazi kabla hajafariki kuwa...

KAMATI INAYOSHUGHULIKIA SAKATA LA MORRISON YAAHIDI KUTENDA HAKI

0
 MWENYEKITI  wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Elias Mwanjala amesema watatenda haki katika suala la Bernard Morrison dhidi ya...

BERNARD MORRISON ATUMA UJUMBE HUU

0
 KIUNGO wa Yanga Bernard Morrison ametuma ujumbe kwa mashabiki wake akiwataka washushe presha kwa sasa.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Morrison ametupia video akionekana akichezeza...

MTIBWA SUGAR YADAI KIBWANA ALIYESAJILIWA YANGA BADO NI MALI YAO

0
 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa beki mpya aliyetambulishwa na Yanga Agosti 9 bado ana mkataba ndani ya timu hiyo yenye maskani yake Morogoro.Kibwana...

BEKI MPYA YANGA: NITAWASHANGAZA WENGI

0
 BAKARI Mwamnyeto, beki mpya ndani ya kikosi cha Yanga, amesema kuwa atawashangaza wengi ndani ya kikosi hicho kwa kuwa wengi wanafikiri kwamba atashindwa kupata...

PIERRE ASAINI DILI LA MIAKA MITANO TOTTENHAM

0
 KLABU  ya Tottenham inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano.Kiungo huyo mwenye...

SAKATA LA MORRISON JEMBE ATOA MONI HAYA

0
AGOSTI 10 na 11 kesi ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison kesi yake ya mvutano wa kimkataba kuhusu Yanga ilikuwa inaendelea kuskilizwa na...

GWAMBINA WATAJA NAFASI YA ZAHERA NDANI YA KIKOSI HICHO PAMOJA NA MPANGO WA BENCHI...

0
 UONGOZI wa Gwambina FC umesema kuwa nafasi ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ndani ya timu hiyo ni kiongozi wa masuala ya ufundi (Technical...

DIFENDA MBILI ZAMLINDA MORRISON DAR,MWAMNYETO APEWA PROGRAM 3,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano

AZAM WAITAKA YANGA IOMBE MSAMAHA ISHU YA SURE BOY

0
 Uongozi wa Azam FC imesikitishwa sana na tabia ya Klabu ya Yanga ambayo wamefanya leo ya kumuandikia Barua mchezaji wa Klabu hiyo Salum Abubakar...