Uncategorized

PIERRE ASAINI DILI LA MIAKA MITANO TOTTENHAM

admin August 12, 2020 6:47 am

 

KLABU  ya Tottenham inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano.

Kiungo huyo mwenye miaka 25 amejiunga na klabu hiyo kwa dau la thamani ya milioni 20 kuitumikia timu hiyo.

Nyota huyo amesanni dili la miaka mitano na amekabidhiwa jezi namba tano ambayo ataitumia msimu ujao wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu England.

Nyota huyo alikamilisha utaratibu wa vipimo na kupewa dili hilo huku akionekana ni mwenye furaha ya kujiunga na kikosi hicho na amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi hicho.

Nyota huyo amesema:”Kwangu naona ni njema hasa kusaini mkataba wa miaka mitano na kupewa jezi namba tano nadhani ni jambo la kufikirika na litakuwa na upana wa matokeo mazuri hapo baadaye.


: “Ninajifunza vingi na ninaamini nitaendelea kujifunza mengi ndani ya timu yangu mpya kikubwa ni ushirikiano na kufanya kazi kwa juhudi,” amesema.

SAKATA LA MORRISON JEMBE ATOA MONI HAYA BEKI MPYA YANGA: NITAWASHANGAZA WENGI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply