SENZO AKABIDHI OFISI SIMBA

0
INAELEZWA kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa zamani wa Simba, Senzo Mazingisa, Jumatatu jioni Agosti 10, 2020 alikabidhi ofisi na nyaraka za klabu hiyo.Kuhusu mbadala...

SIMBA YASHAURI NAMNA YA KUMALIZA SAKATA LA MORRISON

0
 KUTOKANA na mvutano wa kesi ya Bernard Morrison kuhusu suala la mkataba wake uongozi wa Simba umetoa pendekezo la namna ya kufanikisha suala hilo...

AZAM FC WAJIPA MATUMAINI YA KUFANYA MAKUBWA MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umedhamiria kufanya makubwa ndani ya msimu ujao wa 2020/21 ndio maana umeanza kujifua mapema kabla ya ligi kuanza....

ISHU YA MORRISON YAKWAMA TENA LEO, SASA NI MPAKA KESHO

0
 MWENYEKITI wa Kamatiya Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF), Elias Mwanjala amesema kesi ya Bernard Morrison itaendelea kuskilizwa kesho.Kiungo wa Yanga, Morrison...

RASMI YANGA YAMALIZANA NA MBUKINAFASO

0
 YACOUBA Sogne, raia wa Burkina Faso amemalizana na Yanga kwa ajili ya kutumikia kikosi hicho kilicho kwenye maboresho kwa ajili ya msimu wa 2020/21....

MWINYI ZAHERA AMALIZANA NA GWAMBINA KUANZA NA NYOTA HAWA KUTOKA YANGA

0
 MWINYI Zahera, ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Gwambina FC ambayo imepanda daraja msimu huu wa 2019/20 na itashiriki Ligi Kuu Bara...

WACHEZAJI 10 KIGENI RUKSA KUSAJILIWA BONGO

0
WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu vilabu vya soka nchini kuendelea kusajili wachezaji 10 wa kigeni, hatua iliyochukuliwa baada ya kuzingatia maoni...

TSIMIKAS APEWA DILI LA MUDA MREFU NDANI YA LIVERPOOL

0
LIVERPOOL imetangaza kuwa imemalizana na beki Kostas Tsimikas kutoka Klabu ya Olympiacos kwa dili la muda mrefu kwa dau linalotajwa kuwa ni pauni milioni...

KUHUSU SAKATA LA BERNARD MORRISON, UJUMBE WA JEMBE HUU HAPA

0
 KWA sasa kinachoendelea kwenye masuala ya michezo ni sakata la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ambaye ishu yake ipo kwenye Kamati ya Hadhi...

NAMUNGO WAMEDHAMIRIA KUSHUSHA MAJEMBE NANE YA KAZI, MMOJA KUTOKA YANGA

0
 BAADA ya kuwa na uhakika wa kuwakilisha nchi kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho, uongozi wa Namungo umesema kuwa utasajili wachezaji nane wa kazi.Tayari Namungo imeshapata...