PIERRE ASAINI DILI LA MIAKA MITANO TOTTENHAM

0
 KLABU  ya Tottenham inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano.Kiungo huyo mwenye...

SAKATA LA MORRISON JEMBE ATOA MONI HAYA

0
AGOSTI 10 na 11 kesi ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison kesi yake ya mvutano wa kimkataba kuhusu Yanga ilikuwa inaendelea kuskilizwa na...

GWAMBINA WATAJA NAFASI YA ZAHERA NDANI YA KIKOSI HICHO PAMOJA NA MPANGO WA BENCHI...

0
 UONGOZI wa Gwambina FC umesema kuwa nafasi ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ndani ya timu hiyo ni kiongozi wa masuala ya ufundi (Technical...

DIFENDA MBILI ZAMLINDA MORRISON DAR,MWAMNYETO APEWA PROGRAM 3,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano

AZAM WAITAKA YANGA IOMBE MSAMAHA ISHU YA SURE BOY

0
 Uongozi wa Azam FC imesikitishwa sana na tabia ya Klabu ya Yanga ambayo wamefanya leo ya kumuandikia Barua mchezaji wa Klabu hiyo Salum Abubakar...

SENZO AKABIDHI OFISI SIMBA

0
INAELEZWA kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa zamani wa Simba, Senzo Mazingisa, Jumatatu jioni Agosti 10, 2020 alikabidhi ofisi na nyaraka za klabu hiyo.Kuhusu mbadala...

SIMBA YASHAURI NAMNA YA KUMALIZA SAKATA LA MORRISON

0
 KUTOKANA na mvutano wa kesi ya Bernard Morrison kuhusu suala la mkataba wake uongozi wa Simba umetoa pendekezo la namna ya kufanikisha suala hilo...

AZAM FC WAJIPA MATUMAINI YA KUFANYA MAKUBWA MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umedhamiria kufanya makubwa ndani ya msimu ujao wa 2020/21 ndio maana umeanza kujifua mapema kabla ya ligi kuanza....

ISHU YA MORRISON YAKWAMA TENA LEO, SASA NI MPAKA KESHO

0
 MWENYEKITI wa Kamatiya Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF), Elias Mwanjala amesema kesi ya Bernard Morrison itaendelea kuskilizwa kesho.Kiungo wa Yanga, Morrison...

RASMI YANGA YAMALIZANA NA MBUKINAFASO

0
 YACOUBA Sogne, raia wa Burkina Faso amemalizana na Yanga kwa ajili ya kutumikia kikosi hicho kilicho kwenye maboresho kwa ajili ya msimu wa 2020/21....