ISHU YA MORRISON MAAMUZI BADO
KIKAO cha Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti, Elias Mwanjala, kimemalizika jioni hii ya...
MTUPIAJI NAMBA MOJA NAMUNGO AWAAGA MASHABIKI WAKE
RELIANTS Lusajo mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Namungo FC kwa msimu wa 2019/20 leo amewaaga mashabiki na viongozi wake wa Namungo. Lusajo...
FUKUTO LA CHAMA KUSEPA SIMBA, UONGOZI WAFUNGUKA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa suala la mchezaji wao Clatous Chama kutajwa kujiunga na watani zao wa jadi Yanga hazina ukweli.Imekuwa ikiripotiwa kuwa baada...
ISHU YA MORRISON YAVUTA HISIA ZA MASHABIKI WENGI
LEO Agosti 10 Kamati ya Hadhi ya Wachezaji Tanzania inaskiliza kesi ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ambaye yupo kwenye mvutano na timu...
YANGA WATAJWA KUINGIA ANGA ZA AUSSEMS
Inaelezwa kuwa Patrick Aussems ambaye aliwahi kuinoa Simba yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Yanga ambao kwa sasa wanamtafuta Kocha Mkuu ambaye atabeba...
TFF ULINZI WAO LEO SI MCHEZO, KISA ISHU YA MORRISON
Makao makuu ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) hali ni ya utulivu kabisa huku ulinzi ukiwa umeimarishwa. Inaelezwa kuwa Bernard Morrison kiungo wa Yanga...
YANGA WATUPA JIWE GIZANI, WATAMBA KUWA WANAANZA NA KUKU KISHA VIFARANGA VITAFUATA
BAADA ya picha ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa kuonekana akiwa na watu wa Yanga ikiwa ni pamoja na Injinia, Hersi Said...
UONGOZI WA SIMBA WAZUNGUZUMZIA ISHU YA SENZO KUBWAGA MANYANGA
BAADA ya jana. Agosti 9 Senzo Mbatha aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba kutangaza kujiuzulu huku ikielezwa kuwa ameibukia kwa watani zao wa jadi Yanga,...
ISHU YA KESI YA MKATABA WA MORRISON UONGOZI WA SIMBA WATOA UFAFANUZI, WAITAJA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kuhusu suala la Bernard Morrison kutangazwa ndani ya Simba ilihali ana kesi ya kimkataba lazima ianze kwenye mkataba wa...
MUHIMU KUWA MAKINI SASA KATIKA WAKATI HUU WA USAJILI
TAYARI dirisha la usajili limefunguliwa na kila timu ipo sokoni kupambana kupata wale ambao inawahitaji ndani ya timu zao. Timu zote usajili wa Ligi Kuu...