MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

MTAMBO WA MABAO NAMUNGO WAGOMEA MKATABA MPYA WATAKA NAMBA YANGA

0
 INAELEZWA kuwa mshambuliaji wa Namungo FC, raia wa Burundi, Bigirimana Blaise, amekataa kuongeza mkataba wa kukipiga ndani ya klabu hiyo ili kutimiza ndoto zake...

MAJEMBE HAYA MAWILI YATAJWA KUCHUKUA NAFASI YA JUMA ADBUL NA YONDANI

0
BAADA kushindwa kufikia muafaka mzuri na beki wao wa pembeni Juma Abdul, uongozi upo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mabeki wawili...

YANGA WANA KISHINDO KIZITO, KAULI YA MORRISON BAADA YA KUTUA SIMBA, KESHO NDANI YA...

0
 KESHO usikose nakala ya Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili kwa jero tu

TIMUSAMATTA YAONJA JOTO YA JIWE,YACHAPWA MABAO 3-1 NA TIMUKIBA,MORRISON AKOSA PENALTI

0
TIMUKiba leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 mbele ya TimuSamatta kwenye mchezo wa hisani wa SamaKiba Foundation uliochezwa Uwanja wa Mkapa.Lengo la mchezo...

BERNARD MORRISON AFUNGUKIA USAJILI WAKE SIMBA

0
BERNARD Morrisom kiungo mshambuliaji ambaye leo ametambulishwa ndani ya Simba kwa dili la miaka miwili akitokea Klabu ya Yanga amesema kuwa hakuna haja ya...

BREAKING: SARRI AFUNGASHIWA VIRAGO JUVENTUS

0
JUVENTUS imethibitisha kuachana na Kocha Mkuu wa klabu hiyo Maurizio Sarri baada ya kudumu kwa msimu mmoja ndani ya klabu hiyo.Sarri aliibukia ndani ya...

BREAKING: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MORRISON

0
 BAADA ya leo, Agosti 8, Uongozi wa Simba kuachia picha za mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison akionekana kumwanga wino mkataba mpya huku ikisindikizwa na...

MRISHO NGASSA WA YANGA ANUKIA GWAMBINA FC

0
 MRISHO Ngassa, kiungo mkongwe ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara aliyekuwa akikipiga Yanga msimu wa 2019/20 anatajwa kuingia kwenye rada za Gwambina FC na...

BREAKING:MORRISON WA YANGA ASAINI SIMBA

0
 BREAKING:BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Yanga leo ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba.Morrison mwenye mabao manne ndani ya Ligi Kuu Bara wakati akikipiga Yanga...