Home Uncategorized BREAKING: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MORRISON

BREAKING: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MORRISON

0

 BAADA ya leo, Agosti 8, Uongozi wa Simba kuachia picha za mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison akionekana kumwanga wino mkataba mpya huku ikisindikizwa na maneno kuwa :’Morrison is red’ Uongzi wa Yanga umetoa tamko kuhusu taarifa hizo.


Yanga imesisitiza kuwa Morrison ana dili la miaka miwli mpaka 2022 ndani ya Yanga hivyo wanafuatilia ili kujiridhisha:-