TENGENEZA PESA NA MERIDIANBET SASA…ODDS ZA USHINDI LEO ZIMETULIA HAPA…
Tembelea www.meridianbet.co.tz. Sasa na uanze kutimiza ndoto zako ambazo ulikuwa unaziota kwa muda mrefu. Watu wengi wamkuwa Mamilionea kwa kubashiri na meridianbet. Wewe unakwama...
KUHUSU KUHUSISHWA SIMBA, YANGA…KELVIN JOHN AFUNGUKA NI WAPI ANAENDA….
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John 'Mbappe' anayecheza soka la kulipwa katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji amesema mkataba alionao na klabu...
NABI AINGILIA KATI DILI LA AZIZ KI KUSEPA YANGA….AMTAJA MAYELE ….
KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amemshauri kinara wa mabao na kiungo mshambuliaji wa mabingwa hao wa Tanzania, StephaneAziz Ki juu ya mipango ya...
HUKU JAHAZI LA SIMBA LIKIANZA KUIMARIKA….MUGALU KAIBUKA NA HILI JIPYA…”SHIDA IKO HAPA..”
KIKOSI cha Simba kipo jijini Arusha na leo jioni kimeshuka katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili KMC na kushinda kwa goli 1-0 katika...
KIGOGO TFF ‘ATIA NYONGO FIGISU’ ZA INONGA KUTAKA KUSEPA KIENYEJI SIMBA….ISHU NZIMA IKO HIVI…
SAA chache tangu beki wa kati wa Simba, Henock Inonga kufunguka kwamba mkataba alionao na klabu hiyo unamalizika mwishoni mwa msimu huu, huku mabosi...
MERIDIANBET YATOA MSAADA KIGAMBONI…
Hodi hodi Kigamboni!! Wale mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamewafikia kwa mara nyingine na awamu hii wamefika katika maeneo mawili ambapo...
ENG HERSI:- KUNA WATU WALIHISI NI NGUMU KUVUNJA UFALME WA SIMBA …NIKAWAMBIA SUBIRINI…
Rais wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Hersi Said, amefichua siri ya kufanya Mapinduzi ya Ubingwa kutoka kwa Watani zao wa Jadi...
KUHUSU LIGI YA MABINGWA MSIMU UJAO….FEI TOTO AITAJA TENA SIMBA…AOMBA MSAMAHA…
Baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' amesema wanapambana...
MASHABIKI YANGA KUSINDIKIZWA NA POLISI KESHO…
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam imesema imejipanga kutoa ulinzi wa kutosha kwa mashabiki wa Club ya Yanga. siku ya jumamosi...
MCHAMBUZI:- SIMBA KUMALIZA NAFASI YA PILI WASAHAU….
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka Clouds Media, Master Tindwa amesema kwa mwenendo ulivyo ni kama Ligi imeisha na uwezekano wa Simba kumaliza...