MORRISON ATAJA SABABU YA KUGOMA KUPANDA NDEGE,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
Kesho ndani ya Championi Ijumaa
YANGA WAMALIZANA NA JEMBE HILI LA KAZI, FUNDI WA KUPIGA MIPIRA ILIYOKUFA
BAADA ya Klabu ya Yanga kumalizana na beki wa kushoto wa Rayon Sports ya Rwanda, Eric Rutanga, uongozi wa klabu hiyo umeibuka na kudai...
TANZANIA PRISONS WANA BALAA, HESABU ZAO MBELE YA SIMBA NI KUSEPA NA POINTI TATU
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Adolf Rishard amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
EYMAEL HAJAFURAHISHWA NA SARE MBELE YA NAMUNGO, ATAJA WANAOMKWAMISHA JUMLA
LUC Eyamel, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa tatizo kubwa walilonalo wachezaji wake wote kwa sasa ndani ya kikosi ni kushindwa kumalizia nafazsi ambazo...
ISHU YA MKATABA WA WAWA NDANI YA SIMBA NI PASUA KICHWA
BEKI Muivory Coast, Pascal Wawa wa Simba, maisha yake kwenye klabu hiyo yapo mbioni kumalizika ambapo suala la mkataba wake mpya limezua jambo ndani...
SINGIDA UNITED WATAJA SABABU ZITAKAZOWAFANYA WASHUKE DARAJA
RAMADHAN Nswanzurimo, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa anaamini kuwa timu yake ikishuka Daraja msimu huu hakuna ambaye atawashangaa kwa kuwa wanapita kwenye...
LALA SALAMA INAHITAJI MAAMUZI MAKINI KWA SASA, MAMBO BADO HAYAJAWA SHWARI
MAAMUZI makini ndani ya uwanja kwa waamuzi wetu wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na Ligi Daraja la Kwanza kwa wakati huu yanatakiwa ili...
MCHEZO MZIMA WA YANGA KUGAWANA POINTI MOJA NA NAMUNGO FC ULIKUWA HIVI TAIFA
YANGA jana ilisubiri mpaka dakika za jioni kabisa kuweka usawa wa kufungana mabao 2-2 na Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...
BEKI YANGA AKUTANA NA RUNGU LA TFF, KAZIMOTO PIA NAYE YAMKUTA
LAMINE Moro, beki wa Yanga amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya shilingi laki tano (500,000/-) kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa JKT Tanzania,...
MARTIAL ASEPA NA MPIRA WAKE JUMLA WAKIIPA KICHAPO CHA MABAO 3-0 SHEFFIELD
ANTHONY Martial, nyota wa Manchester United jana alisepa na mpira wake baada ya kutupia mabao matatu mbele ya Sheffield United.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa...