KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC UWANJA WA TAIFA

0
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 jioni.

UNAKUMBUKA ZILE HABARI ZA SHONGA KUTUA SIMBA??… SASA MAMBO YAPO HIVI..!!!

0
INAELEZWA mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Mzambia Justin Shonga yupo mbioni kujiunga na Klabu ya CS Maritimo ya nchini Ureno, hiyo ni...

LIVE: MBEYA CITY 0-1 SIMBA

0
Kipindi cha KwanzaMbeya City 0-1SimbaDakika 45 zimekamilika zinaongezwa dakika tatuDakika ya 44 Mbeya City wanafanya jaribio haizai matokeoDakika ya 39 Chama anapiga faulo wachezaji...

MBEYA CITY YAIPIGA MKWARA HUU SIMBA

0
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa watakachokutana nacho leo Simba jioni saa 10:00 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara hawataamini kwani...

YANGA V NAMUNGO FC KAZI IPO LEO TAIFA

0
TIMU ya Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery mchezo wake uliopita wa Ligi Kuu Bara ikiwa Uwanja wa Majaliwa ilishinda mabao 2-0...

JONAS MKUDE NA BERNARD MORRISON WAKUTANA NA PANGA LA TFF

0
KAMATI ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imewafungia wachezaji  Bernard Morrison kiungo wa Yanga na Jonas Mkude wa Simba michezo miwili kwa...

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBEYA CITY

0
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine majira ya saa 10:00 jioni

MKATABA WA WAWA SIMBA WAZUA JAMBO..!!

0
BEKI Muivory Coast, Pascal Wawa wa Simba, maisha yake kwenye klabu hiyo yapo mbioni kumalizika ambapo suala la mkataba wake mpya limezua jambo ndani...

SIMBA YATENGA DAKIKA 180 ZA KAZI HUKO MBEYA

0
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kazi ngumu kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara ambazo ni dhidi ya Mbeya City na...

LEO NI VITA YA UBINGWA, SIMBA NA YANGA WOTE WANAKIWASHA UWANJANI

0
HESABU za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa itaanza kuhesabiwa leo iwapo itashinda mchezo wake dhidi ya Mbeya...