BERNARD MORRISON AIBUA MAZITO YANGA NI NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
KESHO ndani ya Championi Jumatano

YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA NAMUNGO FC

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa kwenye mchezo wa kesho ni kushinda ili kupata pointi tatu.Kesho, Juni 24, Yanga itaikaribisha Namungo FC kwenye...

MSHAHARA WA KOTEI YANGA KUFURU…!!

0
KIUNGO James Kotei aliyesitishiwa mkataba na Slavia Mozyr ya nchini Belarus amefikia pazuri na Yanga ambao wamemuwekea Sh.80 milioni mezani asaini.Mmoja wa vigogo wa...

MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA HAYA HAPA, SINGIDA...

0
HAYA hapa matokeo ya mechi za leo zilizochezwa za Ligi Kuu Tanzania Bara, hali ya Singida United bado ni tete, yapokea kichapo tena mbele...

SIMBA WAPIGA MATIZI YA MWISHO LEO, VITA YAO KESHO INA VIGINGI VIKALI MBELE YA...

0
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo wa kesho, Juni 24 dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Uwanja wa Sokoine, majira...

DILUNGA – MASHARTI YA MPENZI WANGU YAMENISAIDIA ..!!

0
STAA wa Simba, Hassan Dilunga ‘HD’ amedai kwamba mpenzi wake pamoja na kocha wa sasa, Sven Vandenbroeck wamekuwa busta ya yeye kutamba Msimbazi.Dilunga chini...

MBELGIJI WA SIMBA ANAAMINI KUWA KIKOSI KIKIWA FITI WANASHINDA MECHI ZOTE

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji, amesema anafahamu kwamba wanakabiliwa na mechi ngumu za kumaliza msimu huu wa Ligi Kuu Bara,...

SVEN – ETI NINI….NDEMLAA..!!!??

0
KIPENZI cha mashabiki wa Simba, Said Ndemla, huenda akawa amejisafishia njia ya kuendelea kupangwa katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo kutokana na kandanda...

BOSI ZINEDINE ZIDANE ANATIMIZA LEO MIAKA 48

0
23 Juni,1973, Zinedine Zidane raia wa Ufarasa aliletwa duniani,hivyo leo ni mfanano wa siku yake ya kuzaliwa.Anatimiza umri wa miaka 48 akiwa ni Kocha...

MATOLA – TUTATANGAZA UBINGWA MBEYA

0
BAADA ya ushindi wa juzi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui, benchi la ufundi la Simba limesema harakati za kutangaza ubingwa kwao zinaanzia mkaoni...