KUHUSIANA NA TAIRONE, FRAGA, SIMBA WASISUBIRI HADI SIKUKUU
Na Saleh AllySIMBA ilianza kuachana na mshambuliaji Wilker Henrique da Silva raia wa Brazil baada ya kukumbwa na majeraha akiwa kambini nchini Afrika Kusini.Wakati...
TAZAMA MSIMAMO WA LIGI KUU BARA, UTAELEWA MAANA YA TIMU ZA MAJESHI
NA SALEH ALLYMECHI zilizobaki katika Ligi Kuu Bara ni nane hadi tisa ambazo ndio nyingi sana. Wakati timu nyingine zilitarajia kucheza jana, unaona kuna...
SIMBA IPO KAMILI GADO KUVAANA NA MBEYA CITY KESHO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho utakaochezwa Uwanja wa Sokone majira ya saa 10:00 jioni.Akizungumza na Saleh...
HASSAN KESSY KAMA KICHUYA TU MSIMBAZI..!!
NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Hassan Kessy ni miongoni mwa wachezaji watakaokipiga katika kikosi cha Yanga msimu wa 2020/21, huku ikielezwa anafuata nyayo...
MTUPIAJI NAMBA MOJA NDANI YA YANGA APEWA MKONO WA KWA HERI
IMEELEZWA kuwa mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Yanga anatimka jumla msimu ujao baada ya kushindwa kuelewana na mabosi zake ambao ni Yanga.Molinga...
COASTAL UNION YAANZA KUZOEA MAZINGIRA YA MWANZA, LEO KUKIWASHA
COASTAL Union iliyo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda imeshaanza kuyazoea mazingira ya Mwanza baada ya kutia timu rasmi tangu jana.Leo, Juni 23 itashuka...
RUVU SHOOTING YAPANIA KUIPAPASA NDANDA LEO MABATINI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa waliokuwa wanawabeza baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 mbele ya KMC wasitarajie watafungwa leo...
BODI YA LIGI YATHIBITISHA KUPOKEA BARUA YA AZAM FC, INAYOZUNGUMZIA MABAO MAWILI NA PENALTI
MWENYEKITI wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa wamepokea barua ya malalamiko ya Klabu ya Azam FC iliyopelekwa kwenye dawati lao.Juni, 21...
MINZIRO: TUPO KWENYE NAFASI MBAYA, NIMEWANOA WACHEZAJI KUIMALIZA COASTAL UNION
KOCHA Mkuu wa Mbao FC, Felix Minziro amesema kuwa amewanoa wachezaji wake vizuri kuelekea kwenye mchezo wao utakaocheza dhidi ya Coastal Union Uwanja wa...
MANCHESTER CITY WATEMBEZA MKONO KWA BURNEY
PHIL Forden, nyota wa Manchester City alifungua pazia la ushindi wa mabao 5-0 mbele ya kikosi cha Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu England...