RASMI…MSAUZI AMUONDOA TSHISHIMBI YANGA..!!
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi hatacheza mechi ya keshokutwa dhidi ya Namungo.Tshishimbi alikuwa anafikiri angeweza kucheza mchezo huo na tayari alishajiandaa lakini mmoja wa...
KIKOSI RASMI CHA AZAM FC DHIDI YA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA
HIKI hapa kikosi rasmi cha Azam FC dhidi ya yanga Uwanja wa Taifa leo Juni 21
LIVE:YANGA 0-0 AZAM FC
Zinaongezwa dakika 2Dakika ya 45 zinakamilika hakuna timu iliyoona langoDakika ya 38 Haule anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 33 Idd anapaisha nje kidogo ya...
KUHUSU SHIBOUB KURUDI SIMBA..UKWELI WA MAMBO HUU HAPA..!!
MAMBO yameendelea kuwa magumu kwa kiungo wa Simba, Shaaraf Shiboub ambaye yupo kwao Sudan kutokana na janga la corona hivyo, marufuku ya watu kutoka...
HIKI HAPA SASA KIKOSI CHENYEWE RASMI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO UWANJA WA TAIFA DHIDI...
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza chenyewe sasa kitakakachoanza leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Azam FC
MAPEMA TU KAZI ISHAISHA TAIFA, MIFUMO NA MBINU ZA MAKOCHA WOTE WA YANGA NA...
ITAFAHAMIKA leo baada ya dakika 90 zile tambo za Yanga na Azam FC ambazo zilikuwa zinatawala kwa kila mmoja kuvuta kwake Uwanja wa Taifa.Mashabiki...
FUNGIAFUNGIA IMEANZA NI MUHIMU KWA WENGINE KUONGEZA UMAKINI
Waswahili wanasema mwenzio akinyolewa basi ujiandae kwa kutia maji kichwani yaani uwe tayari kwa kunyolewa na wewe.Unajua nimesema hivyo kwa nini? Kwasababu fungia fungia...
HIVI NDIVYO ITAKAVYOKUWA JESHI LA AZAM FC LEO DHIDI YA YANGA
IKIWA leo Juni 21, Azam FC itakaribishwa na Yanga, Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 jioni, kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra...
JESHI LA YANGA LITAKALOVAANA NA AZAM FC LICHEKI KWANZA
UWANJA wa Taifa leo kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Yanga FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael na Azam...
SIMBA YAPIGA 5 G LEO UHURU
VerifiedSIMBA leo imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 mbele ya African Lyon kwne mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru.Mabao ya Simba yalifungwa na...