LAMINE MORO ANA KICHWA LAKINI MIGUU IMEMZIDI NGUVU….

0
Na Saleh AllyMWANADAMU huwa anafanya makosa na kama ni muungwana huwa kinachofuatia ni kujuta, sote tunalijua hili na lazima tumewahi kulipitia bila ya kujali...

BAO LA MARADONA LATIMIZA MIAKA 21

0
IMETIMIA miaka 26 tangu gwiji wa soka duniani, Diego Maradona kufunga bao kwenye timu yake ya Taifa ya Argentina dhidi ya Ugiriki kwenye fainali...

YANGA V AZAM FC NI BALAA TUPU LEO TAIFA, CHEKI WAKALI WA KUTUPIA, NA...

0
MAMBO yanazidi kuwa matamu ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo ulimwengu wa michezo leo Juni 21 unasubiri kuutazama mchezo wa kukata na shoka kati...

SINGIDA UNITED HALI BADO NI TETE

0
KUPOTEZA kwa kufungwa mabao 2-0 jana Juni 20 mbele ya JKT Tanzania kunazidi kuizamisha kwenye ugumu wa kujitoa kwenye mstari wa kushuka daraja Klabu...

MASHABIKI MSIJISAHAU KWA FURSA MLIYOPEWA, MUHIMU KILA MMOJA KUCHUKUA TAHADHARI

0
KUNA raha yake kushuhudia mechi ukiwa uwanjani. Miongoni mwa raha hizo ni kuwaona wachezaji wako moja kwa moja na wakati mwingine kuzungumza na kupiga...

MCHEZO MZIMA WA SIMBA KUSEPA NA POINTI TATU MBELE YA MWADUI FC ULICHEZWA KWA...

0
SIMBA jana imefuta machungu ya sare ya kufungana bao 1-1 na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Juni 14, Uwanja wa...

YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Azam FC watapambana kuibuka ña ushindi kwa kuwa mchezo uliopita walifungwa...

JEMBE LA RWANDA LATUA YANGA,STRAIKA MPYA SIMBA HUYU HAPA, NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili