Uncategorized

BAO LA MARADONA LATIMIZA MIAKA 21

admin June 21, 2020 9:47 am


IMETIMIA miaka 26 tangu gwiji wa soka duniani, Diego Maradona kufunga bao kwenye timu yake ya Taifa ya Argentina dhidi ya Ugiriki kwenye fainali ya Kombe la dunia 1994.

Bao hilo la kipekee nyota huyo alifunga akiwa nje ya box kwenye mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia kwa guu la kushoto nchini Marekani.

Bao hilo lilimfanya Maradona akimbie kwenye kamera akishangilia kwa nguvu kwa furaha ya kuifungia bao timu yake kwenye mchezo wa ufunguzi.

Miaka nane mbele, Maradona aliangukia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ambayo yalimpoteza kwenye ramani ya soka na kwenye Kombe la dunia 1994 Brazil ilisepa na taji hilo mazima.

YANGA V AZAM FC NI BALAA TUPU LEO TAIFA, CHEKI WAKALI WA KUTUPIA, NA REKODI ZAO LAMINE MORO ANA KICHWA LAKINI MIGUU IMEMZIDI NGUVU….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply