Uncategorized

SINGIDA UNITED HALI BADO NI TETE

admin June 21, 2020 8:47 am

KUPOTEZA kwa kufungwa mabao 2-0 jana Juni 20 mbele ya JKT Tanzania kunazidi kuizamisha kwenye ugumu wa kujitoa kwenye mstari wa kushuka daraja Klabu ya Singida United.

Jana Uwanja wa Jamhuri, Singida United ilishindwa kufurukuta mbele ya JKT Tanzania na kukubali pointi tatu kuyeyuka jumla.

Mabao ya JKT Tanzania yalipachikwa kimiani na Musa Said dakika ya 11 na Hafidh Mussa dakika ya 61.

Singida United ipo nafasi ya 20 ikiwa na pointi 15 baada ya kucheza mechi 30, imebakiwa na mechi nane ili kukamilisha mzunguko wa pili.

MASHABIKI MSIJISAHAU KWA FURSA MLIYOPEWA, MUHIMU KILA MMOJA KUCHUKUA TAHADHARI YANGA V AZAM FC NI BALAA TUPU LEO TAIFA, CHEKI WAKALI WA KUTUPIA, NA REKODI ZAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply