LAMINE AIPA YANGA HASARA NYINGINE
YANGA imemkata beki wao, Lamine Moro Sh.1 milioni kwenye mshahara wake kwa kitendo kisicho cha kiungwana alichomfanyia Mwinyi Kazimoto lakini kikanuni bado atawapa hasara.Mchezaji...
KOCHA SIMBA AUKUBALI MUZIKI WA KICHUYA
KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane, amekiri kuimarika kwa kiwango cha winga wa kikosi hicho, Shiza Ramadhani Kichuya, baada ya kukaa benchi kwa...
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO NDANI YA LIGI KUU BARA
Coastal Union 0-0 Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mbeya City 0-1 Alliance, (Juma Nyangi 19’) Uwanja wa Sokoine. Ndanda SC 1-0 Biashara United (Abdul Hamisi...
LIVE:SIMBA 2-0 MWADUI FC
Dakika 2 zinaongezwaDakika 45 zinakamilika Uwanja wa TaifaDakika ya 44 Mfaume anafanya jaribio linaishia mikononi mwa ManulaDakika ya 43 Mwadui wanalifuata lango la Simba Dakika...
HILI HAPA KOSI LA SIMBA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA MWADUI FC UWANJA WA TAIFA
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Taifa
MKWARA WA NAMUNGO NA KAGERA SUGAR ACHA KABISA
UONGOZI wa Namungo umesema kuwa unawaheshimu wapinzani wao Kagera Sugar ila hakuna namna lazima waache pointi tatu Uwanja wa Majaliwa kwenye mchezo wa leo...
JKT TANZANIA V SINGIDA UNITED TAMBO TUPU
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kikosi chao kipo tayari kuanza kuonyesha uwezo wao mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo utakaopigwa Uwanja wa Jamhuri,...
COASTAL UNION WANA JAMBO HILI LEO MKWAKWANI
COASTAL Union wamesema kuwa watapambana mbele ya wapinzani wao Mtibwa Sugar leo kwenye mchezo wao utakaopigwa majira ya saa 10;00 jioni.Kocha Mkuu wa Coastal...
NANGWANDA SIJAONA LEO KUNA BIASHA MOJA TU PEVU KWA WANAUME 22 KUSAKA POINTI TATU
NANGWANDA Sijaona, leo kutakuwa na biashara moja tu kwa wanaume 22 ndani ya uwanja huo kusaka pointi tatu muhimu.Ndanda FC iliyo chini ya Kocha...
POLISI TANZANIA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA LIPULI
SIXTUS Sabilo, mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa kazi kubwa waliyonayo ni kuendelea pale walipoishia wakati Ligi Kuu Bara...