JAMHURI DODOMA, JKT TANZANIA V YANGA, MAMBO YAPO NAMNA HII
MASHABIKI wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kushuhudia burudani ya mechi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza muda mfupi ujao.Leo Juni 17, JKT...
MBWANA SAMATTA LEO ANA BONGE MOJA YA KAZI HUKO ENGLAND
ASTON Villa leo ina kazi nzito ya kupambana na Klabu ya Sheffield kwenye mchezo wa Ligi Kuu England unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 2:00...
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA JKT TANZANIA
Metacha MetachaJuma AbdulAdeyum SalehSaid MakapuLamine MoroFeisal SalumKelvin YondaniBalama MapinduziHaruna NiyonzimaDitram NchimbiDeus KasekeSubFarouk ShikaloJafar MohamedAbdulaziz MakameYikpe GislainMrisho NgassaDavid Molinga
MTIBWA SUGAR HAWATAKI UTANI,HESABU ZAO HIZI HAPA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umesema kuwa hesabu kubwa zilizo ndani ya kikosi hicho ni kuleta ushindani mkubwa kwenye mechi zilizobaki kwa kuwa wanaamini wana...
SIMBA: WAJEDA WALITUZIDI KWENYE UIMARA, TUNASAHAU MATOKEO TUNAENDELEA KUPAMBANA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa haikuwa rahisi kupambana na Ruvu Shooting kwa kuwa ni timu ya jeshi iliwazidi kwenye upande uimara.Ruvu...
WACHEZAJI WA ARSENAL WANANYOSHWA KWA KUFANYA USAFI NA ARTETA
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal inaripotiwa kuwa amekuwa akiwapa adhabu ya kufanya usafi chumba cha kubadilishia nguo wachezaji wake wote ambao watavunja taratibu...
DILI LA RUTANGA YANGA HAWA WAMEHUSIKA KUMPA MIAKA MIWILI
ERIC Rutanga alisaini kandarasi ya awali na Klabu ya Polisi Rwanda licha ya kuhusishwa kuibukia ndani ya Yanga.Rutanga amesema kuwa kule alisaini mkataba wa...
WATATU KIKOSI CHA KWANZA WA YANGA LEO KUIKOSA JKT TANZANIA
LEO, Juni 17 Yanga itakuwa kazini ikimenyana na Klabu ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.Itakosa huduma ya wachezaji wake watatu ambao ni chaguo...
MKUDE SASA YUPO CHINI YA UANGALIZI MAALUMU ILI KUREJEA KWENYE UBORA WAKE
JONAS Mkude, kiungo mkabaji chaguo namba moja la Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck ameaanza mazoezi mepesi akiwa chini ya jopo la madaktrai wa...