YANGA YAFICHUA KILICHO NYUMA YA USHINDI WAO NA MWADUI, ISHU YA MIGOGORO IPO HIVI
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa tofauti zao waliziweka kando na kuingia uwanjani kupambana kwa kuwa ni timu moja.Jana, Juni 14 Yanga...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA RUVU SHOOTING, TAIFA, MZAMIRU NDANI
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting, Juni 14 Uwanja wa Taifa
BALAA TUPU LEO TAIFA, UTAPIGWA MPIRA WA BARCELONA
LEO Uwanja wa Taifa kutakuwa na kazi moja kubwa kwa Simba iliyo nafasi ya kwanza na pointi 71 kuzisaka pointi tatu mbele ya Ruvu...
SIMBA KUKOSA HUDUMA YA NYOTA WAKE WAWILI JUMLA, WENGINE WAWILI WATEGEMEA MAAMUZI YA SVEN
LEO Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck itashusha kete yake mbele ya Ruvu Shooting ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara.Huu utakuwa...
PIERRE AUBAMEYANG AONYWA
PIERRE Emerick Aubameyang, mshambuliaji wa Arsenal amepewa onyo la kufikiria kutaka kuondoka ndani ya Klabu hiyo inayompa nafasi kwani akifanya hivyo atapotea kwenye ramani...
BERNARD MORRISON ATAJA SABABU YA KUIKOSA MWADUI FC, SASA KUIBUKIA HUKU
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ataungana na kikosi Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania.Morrison...
RATIBA YA LEO JUNI 14, LIGI KUU BARA
LEO Juni 14 kuna mechi mbili za Ligi Kuu Bara zitachezwa viwanja viwili tofauti kushuhudia ushindani.Miguu ya wanaume 44 itakuwa kazini kusaka pointi tatu...
MENEJA AMUONDOA KIUNGO SIMBA,MOLINGA,MKWASA FRESHI,NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII KWA SASA
BAADA ya Mwadui kumenyana na Yanga, Namungo kumenyana na Coastal Union jana, Juni 13 msimamo kwa sasa upo namna hii:-