EYMAEL, MOLINGA NA OFISA UHAMASISHAJI WAIFUATA MWADUI LEO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael leo ameondoka Bongo kuelekea Shinyanga kuungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara...
KIUNGO FUNDI ANAYEZIGOMBANISHA SIMBA NA YANGA ATAJA ATAKAPOSAINI
BARAKA Majogoro ni kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania iliyo chini ya Kocha Mkuu Malale Hamsini.Jina lake linatajwa mitaa ya Kariakoo ambapo...
HII SIMBA ..KAMA HAWAKUWA LIKIZO VILE…!!
KADRI siku zinavyozidi kuyoyoma, ndivyo kikosi cha Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kinavyozidi kuwa kitamu kiasi cha kuonekana kama hakikuwa likizo.Shughuli za...
NAHODHA MKENYA AKUBALI KUTUA SIMBA JUMLAJUMLA
MICHAEL Kibagwe, nahodha wa Klabu ya KCB inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya amesema yupo tayari kutua Bongo kuitumikia timu yoyote inayomhitaji kwa sasa.Beki huyo...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
KISA CORONA…SHIBOUB ASUBIRI RUHUSA YA RAIS SUDANI KURUDI TZ..!!
NYOTA wa Simba, Sharaf Shiboub, anasubiri huruma ya Serikali ya Sudan ili kurejea Tanzania kuendelea na majukumu yake katika kikosi cha mabingwa watetezi wa...
MOLINGA AWAJIA JUU YANGA
MSHAMBULIAJI wa timu ya Yanga, raia wa DR Congo, David Molinga, amewajia juu baadhi ya watu ndani ya klabu hiyo wanaomhusisha mara kwa mara...
MO AJIBU MAPIGO YA GSM
UKISIKIA mkwara mzito ndio huu. Bilionea wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji, amefunguka kuhusu mkakati wake wa kuifanya timu hiyo iwe tishio zaidi barani Afrika...
YANGA YAANZA MATIZI LEO SHINYANGA
KIKOSI cha Yanga leo kimeanza mazoezi rasmi ya kujiweka sawa kwa ajili ya kuvaana na Mwadui FC ya Shinyanga.Miongoni mwa wachezaji waliokuwa mazoezini leo...