KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA KMC MCHEZO WA KIRAFIKI
Kikosi cha Simba dhidi ya KMC mechi ya kirafiki, Uwanja wa Simba Mo ArenaKIKOSI1. Aishi Manula2. Haruna Shamte3. Gadiel Michael4. Kennedy Juma5. Pascal Wawa6....
SIMBA SC vs KMC | Live stream on HD
Tazama mechi ya kirafiki kati ya Simba SC na KMC kupitia live stream link hapo chini.Link 1 | Link 2 | Link 3 |...
MWADUI FC YAPANIA KUBAKI KWENYE LIGI MSIMU UJAO
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa unajipanga kupata matokeo chanya kwenye mechi zake zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara ili kubaki ndani ya ligi...
YANGA WATAJA SABABU YA KUCHAPWA MABAO 3-0 NA KMC
CHARLES Mkwassa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kichapo cha mabao 3-0 mbele ya KMC jana umetokana na makosa yao wenyewe waliyoyafanya ndani ya uwanja.Mchezo...
KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO
BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na...
MALENGO YA BIASHARA UNITED NI TANO BORA, YAWAOMBA WADAU KUIPA SAPOTI
SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa mipango mikubwa iliyo ndani ya klabu hiyo ni kupambana kumaliza ligi ikiwa ndani ya...
SIMBA YATESTI MITAMBO MBELE YA TRANSIT CAMP NA KUIBAMIZA MABAO 4-2
KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mo Simba Arena...
UWANJA MPYA WA KISASA SHINYANGA NI BONGE MOJA YA MPANGO
MENEJA wa Uwanja wa Fresho Complex, Ombeni Kwekaambaye ndiye amebuni ramani ya uwanja huo amesema umekamilika kwa asilimia 25 na unatarajiwa kukamilika kwa asilimia...
BOSI AJAX ATHIBITISHA KWAMBA MANCHESTER UNITED WAMEONYESHA NIA KUMTAKA DONNY
BOSI wa Klabu ya Ajax, Edwin van der Sar amethibitisha kwamba Manchester United imeonyesha nia ya kupata saini ya nyota wao Donny van de...