KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WATAKAOPUUZIA MAZOEZI LIGI ITAWAUMBUA
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa ni suala la kusubiri tu kwa sasa kabla ya wachezaji wazembe muda wao wa kuumbuka ndani...
BANDA: MAMBO MAGUMU HATA HUKU SIO BONGO PEKEE
ABDI Banda, nyota wa Tanzania anayepiga soka la kulipwa nchini Afrika Kusini amesema kuwa mambo magumu hata huko aliko Afrika Kusini kutokana na Ligi...
NATAMANI KUMFAHAMU KIONGOZI WA SIMBA ANAYEMBANIA, ANAYEMFANYIA FITNA MANARA…
Na Saleh AllyHAJI Manara ni mtaalamu sana katika suala la propaganda, anajua afanye nini kwa wakati gani, acheze na kipi kuhusiana na jambo husika...
ATLETICO MADRID YAWAGEUZIA KIBAO ARSENAL KWA PARTEY
KLABU ya Atletico Madrid imegeuza gia angani kuhusu dili la mchezaji wao Thomas Partey ambaye amekuwa akitajwa kuwindwa na Klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu...
KIPA BIASHARA UNITED AWA BIASHARA KWA MATAJIRI WA BONGO NA KMC
DANIEL Mgore kipa namba moja ndani ya Klabu ya Biashara United inaelezwa kuwa amewekwa kwenye rada za Klabu ya KMC na matajiri wa Dar,...
MABEKI HAWA CHIPUKIZI WAPELEKWA DARASANI NA KIRAKA ERASTO NYONI
ERASTO Nyoni kiraka wa Simba ni miongoni mwa wakongwe ambao muda wote ndani ya uwanja wanafanya vema huku wakiwapeleka darasani mabeki chipukizi wanaokipiga klabu...
ALLY NIYONZIMA AKUBALI KUTUA YANGA NI NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa lipo mtaani
SABABU YA NDOA YA HAJI MANARA KUVUNJIKA YATAJWA, ATAKA KUOA MWINGINE ILA VIGEZO VYAKE
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ameachana na mkewe na tayari ameshaolewa kutokana na presha kubwa kutoka kwa familia ya upande wa...
MCHEZAJI UTURUKI AMUUA MTOTO, AJIPELEKA POLISI
BEKI wa Klabu ya Bursa Yildirim Spor, Cevher Tokts raia wa Uturuki amekiri kumuua mtoto wake kwa kuwa alikuwa hampendi na kujisalimisha polisi.Tukio hilo,...
YANGA YATAJA SABABU YA MABAO 42 YA KAGERE
MOHAMED Hussein, ’Chinga’ straika wa zamani wa Klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kilicho nyuma ya mabao...